Germany's first two black MPs enter parliament

Germany's first two black MPs enter parliament

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,331
Germany's first two black MPs enter parliament

Karamba Diaby and Charles M Huber arrive in Bundestag in moment hailed as historic by equality campaigners

Karamba-Diaby--008.jpg

Karamba Diaby said he would campaign for equal opportunities in education. Photograph: Sean Gallup/Getty Images

Germany's first MP of African descent said he was looking forward to the challenge of working in the Bundestag and that he would campaign for more equal opportunities in education.
In an interview at the German parliament Karamba Diaby, 51, of the Social Democratic party of Germany, said: "I myself am the product of equal opportunities and was given the chance to study as an orphan, and I want to make a difference for other people in this area too."

Diaby and Charles M Huber, of the Christian Democratic Union, are the first two black members of the Bundestag, a development hailed as a "historic moment" by equal opportunity campaigners. In addition, Angela Merkel's party will also include a Muslim MP for the first time.

Born in Senegal, Diaby moved to East Germany in 1985 and went on to become a chemist. He will represent the town of Halle in the former east. Huber, a TV actor born in Munich whose father is Senegalese, will represent the southern city of Darmstadt.

Cemile Giousouf, 35, whose parents were part of the Turkish minority in Greece and moved to Leverkusen 40 years ago, will represent Hagen in North-Rhine Westphalia. There have been Muslim politicians in Germany's parliament since 1994, but Giousouf will be the first representative for the Christian Democrats.

The number of MPs with an immigrant background has risen from 21 to 34, with the leftwing Die Linke having the highest percentage of multicultural politicians in their ranks followed by the Green party.

Mekonnen Mesghena, a migration policy expert for the Böll Foundation, described the arrival of black Germans in the Bundestag as a landmark moment: "Germany has a colonial history that stretches back to the 19th century, yet until now black Germans have had no political representation."
A detailed breakdown of the ethnic background of German citizens has only been published since 2005, but there are estimated to be about 500,000 people of recent African descent and between 3.8 million and 4.3 million Muslims living in Germany.

One of the policy areas that Diaby, Huber and Giousouf will be expected to debate in parliament is the introduction of dual citizenship, which has been advocated by the SPD and the Greens. At the moment, German citizens born to non-German nationals have to choose one citizenship before they turn 23.

Poland ilishakua na Wabunge siku nyingi WEUSI.

Mmoja ni mtu wa Dini, kutoka Nigeria anaitwa Johnson Godson na mwingine ni (PhD Mchumi) Killion Munyama kutoka Zambia.

988319,1059706,16.jpg

Munyama kushoto na Godson kulia.

Pm wa Poland alipoenda Nigeria, hawa jamaa walikwenda kama wawakilishi wa Bunge la Poland.

_60q1629.jpg

PM Donald Tusk, nasikia mwakani atatua Tanzania. Sijui kama atafika tena na hawa jamaa.

German kwa kweli na wao wanaanza kubadilika maana walikuwa watu wagumu si kawaida. Ila walishakuwa tayari na Waziri mwanamke Muislaam kutoka Uturuki. Hata hivyo Waturuki ni wengi sana German akina Ozil wa Arsenal.
 
Mkuu Steven Sambali uhamiaji unazibadilisha sana hizi nchi za magharibi. Baada ya kuishi na wageni toka nchi nyingine zikiweko za Kiafrika, Kiarabu na kwingineko wamegundua kwamba watu kutoka nchi hizo wana uwezo wa kiutendaji kama wao tu na hivyo taratibu kuanza kupewa nafasi ambazo miaka ya nyuma zilikuwa hata hazitazamiwi kwamba zinaweza kushikwa na wahamiaji.

German kwa kweli na wao wanaanza kubadilika maana walikuwa watu wagumu si kawaida. Ila walishakuwa tayari na Waziri mwanamke Muislaam kutoka Uturuki. Hata hivyo Waturuki ni wengi sana Germanm aina Ozil wa Arsenal.
 
Last edited by a moderator:
BAK ni kweli kabisa unayoyasema. Kama huyu Dr Munyama ni kwamba ni wao wenyewe Wapolish walimuomba kwanza kugombea udiwani. Kwa sababu kasoma uchumi na ni mtaalamu mzuri, akawa kwenye maeneo yake anasaidia sana kupatikana kwa pesa za EU na wakawa wanajenga barabara, mitaro, shule nk.

Miji mingine na wao wakaona wivu, na wakasema huyu awe mbunge wetu kabisa. Wakamuomba agombee kama Mbunge na kweli uchaguzi ilikuwa ni kama kumhalalisha tu. Hadi jamaa wa Tv walikuwa wanamuuliza, sasa wakikuomba uwe Waziri wa Fedha wa Poland itakuwaje? Ilibidi hata yeye acheke tu.

Kuna Mzambia mwingine pia na yeye ni Dr wa Uchumi na wanamwamini sana hawa Wapolish inapokuja kwenye kutabiri uchumi na thamani ya Pesa. Ni kama yule Mnigeria aliyenunua Luton Airport ya Britain.
Mkuu Steven Sambali uhamiaji unazibadilisha sana hizi nchi za magharibi. Baada ya kuishi na wageni toka nchi nyingine zikiweko za Kiafrika, Kiarabu na kwingineko wamegundua kwamba watu kutoka nchi hizo wana uwezo wa kiutendaji kama wao tu na hivyo taratibu kuanza kupewa nafasi ambazo miaka ya nyuma zilikuwa hata hazitazamiwi kwamba zinaweza kushikwa na wahamiaji.
 
safi sana-nimeipenda hii hali .halafu blacks kwelikweli sio mashombe.hongera zao.
 
Hawa wazungu hadi siku tuwatawale ndio watatupa heshima inayostahili. Unfortunately that is not foreseeable anytime soon.
 
mbona katika nchi za asia na arabia hakuna hizi changes kwani huko weusi hawaendi???? kama arabia si walikuwepo toka enzi za utumwa kwani wameishia wapi?
 
Poland ilishakua na Wabunge siku nyingi WEUSI.

Mmoja ni mtu wa Dini, kutoka Nigeria anaitwa Johnson Godson na mwingine ni (PhD Mchumi) Killion Munyama kutoka Zambia.

988319,1059706,16.jpg

Munyama kushoto na Godson kulia.

Pm wa Poland alipoenda Nigeria, hawa jamaa walikwenda kama wawakilishi wa Bunge la Poland.

_60q1629.jpg

PM Donald Tusk, nasikia mwakani atatua Tanzania. Sijui kama atafika tena na hawa jamaa.

German kwa kweli na wao wanaanza kubadilika maana walikuwa watu wagumu si kawaida. Ila walishakuwa tayari na Waziri mwanamke Muislaam kutoka Uturuki. Hata hivyo Waturuki ni wengi sana German akina Ozil wa Arsenal.

Wasiobadilika ni Waarabu tu. Saudi Arabia ina weusi karibuni milioni 4 lakini hata kuwa mkuu wa shule hupewi. Miaka miwili iliopita walimchagua mweusi mmoja kuwa Mufti mkuu baada ya Obama kutembelea!
Najua watu watasema ni Uislamu, lakini si dini, ni roho mbaya za hawa watu. Dini yao inasema wazi " hakuna tofauti baina ya mwarabu na asiye mwarabu illa katika ibada"
 
Wajua, ninaposoma mambo haya naamini kabisa kuwa watu wa rangi nyingine wanauamini uwezo na utendaji wa mtu mweusi kuliko weusi wenyewe. Njoo Tanzania...... uwe na PHD yako na upambane na mzungu, Mhindi, Mwarabu au.....?!
 
Back
Top Bottom