Yaani pamoja na pato lote hilo katika sekta ya Utalii bado tunasaidiwa kwa watu wetu walio pembezoni!!!!!??? Hii inaonesha jinsi gani rasilimali zisivyonufaisha wakazi wa eneo hili (yaani wanakula kwa macho tu!!) .........kesho Germans wakiomba kujenga hoteli tutawakatalia??