habari wakuu,
nauza German shepherd dog kama anavyoonekana kwenye picha hapo.
umri: miezi saba
rangi: nyeusi
bei 400,000/-
maelewano yapo
mawasiliano:
unaweza kuniPM
email: kamanzi06@yahoo.com
habari wakuu,
nauza German shepherd dog kama anavyoonekana kwenye picha hapo.
umri: miezi saba
rangi: nyeusi
bei 400,000/-
maelewano yapo
mawasiliano:
unaweza kuniPM
email: kamanzi06@yahoo.com
gayo niliona jamaa pale Victoria akimuuza shiling elfu kumi na sabaAisee kamanda nitakutafuta, huyu mbwa wa ukweli sana na bei yake reasonable. Nilikuwa na wa kwangu kama huyu nilipoenda masomoni akapotea.
Idimi, wale wezi wa mbwa hawana akili hata moja, ukipita pale waweza kusikitikaWe Bujibuji, German Shepherd kwa shilingi 17,000/-?
habari wakuu,
nauza German shepherd dog kama anavyoonekana kwenye picha hapo.
umri: miezi saba
rangi: nyeusi
bei 400,000/-
maelewano yapo
mawasiliano:
unaweza kuniPM
email: kamanzi06@yahoo.com
habari wakuu,
nauza German shepherd dog kama anavyoonekana kwenye picha hapo.
umri: miezi saba
rangi: nyeusi
bei 400,000/-
maelewano yapo
mawasiliano:
unaweza kuniPM
email: kamanzi06@yahoo.com
Aisee kamanda nitakutafuta, huyu mbwa wa ukweli sana na bei yake reasonable. Nilikuwa na wa kwangu kama huyu nilipoenda masomoni akapotea.
Mkuu, asante kwa taarifa.
Mimi nahitaji kununua mbwa kama huyu kuanzia Jun/July, 2013.
Nitapata wapi mbwa kama huyu ambaye pia nitawaomba polisi wanifundishie huyo mbwa.