madaktari niwabinafsi nawala hawatetei maslahi ya watz bali yakwao,and it shows that the devil himself ndio anawatumia,serikali hiyo ndio iliwasomesha in the first place inabidi wananchi ss waamke na we rebuke these so called drz wenyewe ni nani wawe wakidemand million za pesa wapewe bana kila mtu ana umuhimu wake kwenye society yy yakimkuta huko atahitaji lawyer wakumtetea or aende magereza,so msijione nyie nibora kila mtu amesoma na anaumuhimu wake,watu wazima na degree zenu which u toiled to get them mnaimba nyimbo za watoto ,,,,,mbona hatukuandamana mlipo mpasua mtu mguu badala ya kichwa,,,,,
ktk excuse ambayo sipendi kuisikia ni hiyo.wakati fulani hata wakubwa hufanya makosa yenye madhara kwa umma kwa kisingizio hicho hicho.Nilimsikiliza kwa uzuri sana Gerald Hando kwenye kile kipindi,Hando kama Hando alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania yeyote wa kawaida isitoshe kilichosemwa na Hando kinaweza kuwakilisha mitazamo ya watu wengi sana including I, myself, ni kwa vile tu hatuna pa kusemea tukasikika na wengi kama Hando,ni lazima tukubali watu wameathirika sana kutokana na hii migomo ya madaktari,kama haukukugusa wewe ksbb una uwezo wa kwenda Hospital kubwa za Private ukafikiri kila mtanzania ana uwezo huo...anyway nisimsemee ngoja aamue mwenyewe kama anafikiri analazimika kuomba radhi kwa maoni yale.
Nilimsikiliza kwa uzuri sana Gerald Hando kwenye kile kipindi,Hando kama Hando alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania yeyote wa kawaida isitoshe kilichosemwa na Hando kinaweza kuwakilisha mitazamo ya watu wengi sana including I, myself, ni kwa vile tu hatuna pa kusemea tukasikika na wengi kama Hando,ni lazima tukubali watu wameathirika sana kutokana na hii migomo ya madaktari,kama haukukugusa wewe ksbb una uwezo wa kwenda Hospital kubwa za Private ukafikiri kila mtanzania ana uwezo huo...anyway nisimsemee ngoja aamue mwenyewe kama anafikiri analazimika kuomba radhi kwa maoni yale.
Nilimsikiliza kwa uzuri sana Gerald Hando kwenye kile kipindi,Hando kama Hando alikuwa anatumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania yeyote wa kawaida isitoshe kilichosemwa na Hando kinaweza kuwakilisha mitazamo ya watu wengi sana including I, myself, ni kwa vile tu hatuna pa kusemea tukasikika na wengi kama Hando,ni lazima tukubali watu wameathirika sana kutokana na hii migomo ya madaktari,kama haukukugusa wewe ksbb una uwezo wa kwenda Hospital kubwa za Private ukafikiri kila mtanzania ana uwezo huo...anyway nisimsemee ngoja aamue mwenyewe kama anafikiri analazimika kuomba radhi kwa maoni yale.
Hando hajakosea na aliyempa kichapo hando hakufanya makosa, unajuwa ni maelfu mangapi ya wagonjwa wanaoteseka kwa fitna zake. Akipona tumuone aendelee na ufataani wake.
Madereva watakupa shuhuda kwamba unaweza ukagonga mtu huyo gari ikaserereka ikawauwa waote kwenye gari na wale watambea kwa miguu kwa hiyo hiyo theory itaishuhudia punde na utajua manake niniUkiendesha gari, kama kuna ajali inatokea ni bora umgonge mtu moja afe, wapone watu 30. Nashauri hao wapewe kipigo kingine ilikuokoa maisha ya Watanzania.Serikali kwa upande wake wajitahidi kuboresha mazingira ya kazi.
hamna shaka kwa namna moja au nyingine kupigwa na kutekwa kwa dokta ulimboka kunatokana maneno ya kuhamsha na kuchochea hasira kwa dkt ulimboka yaliyofanywa na kituo cha radio cha clouds fm ktk kipindi cha power breakfast,segment ya jicho la ngombe majuzi,bwana gerald hando kwa makusudi au kwa kutokujua impact ya radio kwenye kurusha maneno ya chuki na kumkosoa mtu tena kwa kumuita jina lake moja kwa moja bila kufikiria reactions na response za watu kwa mtu husika. bwana hando alimsema sana bwana dkt ulimboka kwamba anapenda sifa, umaarufu,anatakuwa shujua ili sanamu lake liwekwe muhimbili..na maneno mengi ya ajabu ajabu, ambayo mtu yeyote ambaye ameguswa na mgomo wa madaktari angeweza fanya kitu chochote kumdhuru dkt ulimboka. Gerald hando na watangazaji wa radio clouds fm kuweni makini na lugha zenu, acheni unafiki, kumbukeni hata kama mnadhani hakuna watu wanaoweza kuwachukulieni hatua , hasira za watu na malalamiko yao kwenu personaly si jambo jema, wote tunajua mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, na hata serikali kama inashindwa tatua maombi ya madaktari kwa wakati mmoja. waonyeshe tu commitment ya dhati ya kutatua kero za madaktari tusingekuwa na migomo hii, plz gerald hando , angalia maneno yako brother , radio ni very powerful too , inaweza kuwa very destructive isipotumiwa kwa weredi
Dawa utazipata kwa kuuwa wagonjwa?
Shetwani wewe!:sad:
Hata kama una mtazamo tofauti, kama kweli una roho ya kibinadamu hauwezi kushabikia au kufurahia unyama aliofanyiwa Dr. Uli. Na kwanini ukimbilie kuwalaumu madaktari wakati kuna anaye sababisha tufikie huko kwenye migomo ya mara kwa mara (Serikali)?