GEOTHERMAL TANZANIA
New Member
- Jul 5, 2016
- 3
- 1
Not only songwe and Tukuyu.Sehemu ulioopita great valey upo uwezekano wa kuanzisha Geothermal power plant.Majirani zetu Kenya wameitumia hiyo fursa wamejenga plant kitambo inazalisha umeme 34MW.Labda tusubiri wahamie Dodoma au wakimaliza kujenga GIA(Geita International Airport).Geothermal reserves Tukuyu na Songwe zimelala. Are we capable and ready to tap it?
Geothermal reserves Tukuyu na Songwe zimelala. Are we capable and ready to tap it?
Kweli maji na upepo ni renewable resource ila utafouti kati ya hizo resource ni sustainability na efficiency. As long as maji yanakuwa affected naukame n.k lakini geothermal will not be affected of anything once it comes up it has no end.
Maji sio lazima iwe ni HEP kuna tides waves baharini hatujatumia hata kidogo na yenyewe haithiriki na mabadiliko ya hali ya hewa.sawa Technologia ya Maji ipo hapa nchini miaka mingi lakini bado tunachangamoto ya umeme pia tunahitaji kutumia vyanzo mbalimbali ilikuweka security ya kuwa na umeme wa uhakika zaidi na ukizingatia nchi yetu inaelekea kwenye uchumi wa kati unaohitaji umeme wa kutosha na uhakika GEOTHERMAL is one of the solution of it.