songela zigzigTatizo lako unaishi kwa kukariri maisha!,ili ufanikiwe jifunze kwa waliofanikiwa na wala sio kwa waliofeli
Kumbuka hayo maisha yake anahitaji fedhajorge ! upo bawna mdogo! kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa . Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa simba. Yusuph mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa simba. nasema mkeka wa simba maana unawekwa mkekani ligi nzima ukipangwa ujue hiyo ni mechi ya hisani tuu!
angalia kijana denis aliyejiunga na Yanga akitokea Biashara musoma. kakalia mkeka wa yanga mpaka anakiua kipaji chake tartibu!
george wewe chezea geita gold hata kama utaishia kula ugali kwa harufu ya kiatu lakini ujiko wako wa kuukata upo taifa stars na huko ndo real mabrid na PSG watakako kufuata. please keep my words jorge or else you will fall for everything! mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!
wakati huo wewe ukwenye kiyoyozi...jorge ! upo bawna mdogo! kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa . Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa simba. Yusuph mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa simba. nasema mkeka wa simba maana unawekwa mkekani ligi nzima ukipangwa ujue hiyo ni mechi ya hisani tuu!
angalia kijana denis aliyejiunga na Yanga akitokea Biashara musoma. kakalia mkeka wa yanga mpaka anakiua kipaji chake tartibu!
george wewe chezea geita gold hata kama utaishia kula ugali kwa harufu ya kiatu lakini ujiko wako wa kuukata upo taifa stars na huko ndo real mabrid na PSG watakako kufuata. please keep my words jorge or else you will fall for everything! mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!
Mfano wako kwa Denis Nkane wa Yanga hauna uhalisia. Ni mechi ya mwisho tu hapa dhidi ya Mtibwa, ameingia kipindi cha pili na kuipatia timu yake goli la ushindi.George upo bawna mdogo!
Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa.
Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga na mkeka wa Simba. Yusuph Mhilu kaua mpira wake baada kujiunga na mkeka wa Simba.
Nasema mkeka wa Simba maana unawekwa mkekani ligi nzima ukipangwa ujue hiyo ni mechi ya hisani tuu!
Angalia kijana Denis aliyejiunga na Yanga akitokea Biashara Musoma. kakalia mkeka wa yanga mpaka anakiua kipaji chake tartibu!
George wewe chezea Geita Gold hata kama utaishia kula ugali kwa harufu ya kiatu lakini ujiko wako wa kuukata upo taifa stars na huko ndo Real Madrid na PSG watakako kufuata.
Please keep my words George or else you will fall for everything! Mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa!