Mkuu, vipi ushindi wa Esther Bulaya dhidi ya Stephen Wasira? Una maoni gani kuhusu hiloCcm wanajua wananchi tumeshawachoka lakini wanapora ushindi
Mahakama imehukumu kwa hakiHakushinda uchaguzi huyu, bali alishindishwa. Ninacho amini siku zote kwenye chaguzi, ccm huwa hawaibi kura bali wanaiba matokeo. Mkuchika hakushinda Newala kama ambavyo Dr. hakushinda Zenji.
Ni juzi siyo leoMahakama kuu kanda ya mtwara leo imetoa uamuzi wake juu ya kesi iliyokuwa inapinga ushindi wa mkuchika
Usifananishe chui na paka, kwa muono wa CCM Mkuchika ni chui na Bulaya ni Paka ( shume)tuMahakama imehukumu kwa haki
Mzee alidhani ushindi unapatikana kwa mikwara na ngumi, binti mdogo katumia maarifa na hoja.Mkuu, vipi ushindi wa Esther Bulaya dhidi ya Stephen Wasira? Una maoni gani kuhusu hilo