P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 625
Kaimu au Naibu?Baada ya muda mfupi,kuteuliwa kama mwanasheria mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndugu George Masaju ameanza kuonesha unafiki mkubwa aidha kwa utashi wake au kuanza kulipa fadhila kwa waliomteua.Mwanasheria huyu mzoefu amenukuliwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari, kwanini mikataba mingi ya nchi hii haipo wazi.Muheshimiwa huyu bila aibu,amejibu kuwa yeye bado ajakabidhiwa ofisi.Lakini anajisahaulisha kuwa yeye ndiye aliyekuwa kaimu mwanasheria mkuu katika ofisi hiyo hiyo.Pia ameshakuwa mshauri wa serikali wa mambo ya sheria kwa muda mrefu.
Hawa ndiyo wale wale tu.
Baada ya muda mfupi,kuteuliwa kama mwanasheria mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Ndugu George Masaju ameanza kuonesha unafiki mkubwa aidha kwa utashi wake au kuanza kulipa fadhila kwa waliomteua.Mwanasheria huyu mzoefu amenukuliwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari, kwanini mikataba mingi ya nchi hii haipo wazi.Muheshimiwa huyu bila aibu,amejibu kuwa yeye bado ajakabidhiwa ofisi.Lakini anajisahaulisha kuwa yeye ndiye aliyekuwa kaimu mwanasheria mkuu katika ofisi hiyo hiyo.Pia ameshakuwa mshauri wa serikali wa mambo ya sheria kwa muda mrefu.
Hawa ndiyo wale wale tu.
Angalau masaju ana Lugha laini, japo nae anatoka Mara

Kujua jibu la swali hili mpaka kukabidhiwa ofisi?
kiwete ndi fisad no 1
Mlimpiga vita yule mwingine kabla hata hajachaguliwa mkidhani mtafaidi sana,
Kujua jibu la swali hili mpaka kukabidhiwa ofisi?