Ndio maana genta anakutukanaWafilipi 2:3
Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake
Katika CAF CL msimu uliopita wa 2022/2023, Ahly na Mamelodi walikuwa katika group moja, na Al Ahly alipoteza kwa Mamelodi 5-2 mechi ya kwanza na wakatoa sare ya 2-2 mechi ya pili, lakini wote wakaingia robo fainali. Huko mbele Mamelodi akaishia nusu fainali na Al Ahly akachukua ubingwa. Je, hapo nani ni unga, aliyeshindwa kupata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akachukua ubingwa AU aliyepata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akatolewa nusu fainali?Simba na Al-Ahly zimetolewa kwenye mashindano ya African Football League (AFL) bila kushinda mechi hata moja. Baada ya Simba kushindwa kuifunga Al-Ahly hata baada ya kutangulia kuifunga, mchambuzi wa michezo, Bw. George Job alisema Al-Ahly imeshuka kiwango (unga) ndio maana alishindwa kuifunga Simba mbovu pia. Alisema kama simba ingekuwa nzuri ingeitoa Al-Ahly (mbovu msimu huu) kwenye mashindano. Baada ya kusema hivyo, wachambuzi wenzake walimjia juu na kusema anaikosea heshima Simba, wakimaanisha kuwa Simba bora imetoka sare Al-Ahly bora. Lakini Al-Ahly kutupwa nje ya mashindano ya AFL pia kunasadifu uchambuzi wa Mr. Job kuwa Al-Ahly msimu huu imeshuka kiwango, imeshindwa kupata matokeo hata kwenye uwanja wake wa nyumbani tofauti na zamani.
Tumpe Job maua yake kwenye football, Simba msimu huu haina timu ya kushindana kimataifa.
Inazungumziwa mechi za msimu huu na sio msimu uliopita.Katika CAF CL msimu uliopita wa 2022/2023, Ahly na Mamelodi walikuwa katika group moja, na Al Ahly alipoteza kwa Mamelodi 5-2 mechi ya kwanza na wakatoa sare ya 2-2 mechi ya pili, lakini wote wakaingia robo fainali. Huko mbele Mamelodi akaishia nusu fainali na Al Ahly akachukua ubingwa. Je, hapo nani ni unga, aliyeshindwa kupata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akachukua ubingwa AU aliyepata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akatolewa nusu fainali?
Nimeshangaa kwa mara kwanza leo hujatukana. Hii imekuwa ajabu kabisa. Maana hoja zako zote ni matusiWafilipi 2:3
Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake
Ahly pale kwa madiba huwa anachezea za kutosha mno, this time alifungwa 1-0,Simba na Al-Ahly zimetolewa kwenye mashindano ya African Football League (AFL) bila kushinda mechi hata moja. Baada ya Simba kushindwa kuifunga Al-Ahly hata baada ya kutangulia kuifunga, mchambuzi wa michezo, Bw. George Job alisema Al-Ahly imeshuka kiwango (unga) ndio maana alishindwa kuifunga Simba mbovu pia. Alisema kama simba ingekuwa nzuri ingeitoa Al-Ahly (mbovu msimu huu) kwenye mashindano. Baada ya kusema hivyo, wachambuzi wenzake walimjia juu na kusema anaikosea heshima Simba, wakimaanisha kuwa Simba bora imetoka sare Al-Ahly bora. Lakini Al-Ahly kutupwa nje ya mashindano ya AFL pia kunasadifu uchambuzi wa Mr. Job kuwa Al-Ahly msimu huu imeshuka kiwango, imeshindwa kupata matokeo hata kwenye uwanja wake wa nyumbani tofauti na zamani.
Tumpe Job maua yake kwenye football, Simba msimu huu haina timu ya kushindana kimataifa.
Katikati ya mechi dhidi ya USMA na Simba, Ahly alitoka kuzishinda mechi tano mfululizo dhidi ya Al Masry (4-0), Saint George (0-3), Saint George (4-0), ENPPI (3-0) na Ismailiy (3-1)Al Ahly imekutana na mitihani mitatu msimu huu, na mitihani yote imemshinda kuondoka na ushindi
Mechi dhidi ya USMA hakushinda
Dhidi ya Simba mechi mbili hakushinda
Dhidi ya Mamelod mechi mbili hakushinda
Mechi tano msimu huu pasipo ushindi.
kwanini usiwapongeze simba, usm na mamelodi kwa ubora wa defence zao?....Inazungumziwa mechi za msimu huu na sio msimu uliopita.
Binafsi kwa mtazamo wangu, naona safu ya umaliziaji ya Al Ahly ndio yenye shida msimu huu, sielewi wameshuka viwango au kuna mgomo au kuna nini.
Al Ahly imekutana na mitihani mitatu msimu huu, na mitihani yote imemshinda kuondoka na ushindi na ukiangalia namna ya uchezaji ni kwamba wanatengeneza nafasi nyingi sana ila zinapotea bure mpaka mtu unajiuliza hii ndio safu ya ushambuliaji ambayo imetumika mabilioni ya pesa kuwanasa.
Mechi dhidi ya USMA hakushinda
Dhidi ya Simba mechi mbili hakushinda
Dhidi ya Mamelod mechi mbili hakushinda
Mechi tano msimu huu pasipo ushindi.
Kama hili jambo litawekwa sawa, sidhani kama kuna timu inaweza furukuta kwa hawa waarabu. Ila kama ndio hali ndio itakuwa hivyo hivyo basi watakuwa na msimu mgumu safari hii.
Huo ni msimu uliopita, timu zimesajili upya makocha na wachezaji wapya na wengine wameondoka. Tunaongelea msimu huu kuwa Al-Ahly ni unga kutokana na kushindwa kuifunga Simba na mamelod nje ndani.Katika CAF CL msimu uliopita wa 2022/2023, Ahly na Mamelodi walikuwa katika group moja, na Al Ahly alipoteza kwa Mamelodi 5-2 mechi ya kwanza na wakatoa sare ya 2-2 mechi ya pili, lakini wote wakaingia robo fainali. Huko mbele Mamelodi akaishia nusu fainali na Al Ahly akachukua ubingwa. Je, hapo nani ni unga, aliyeshindwa kupata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akachukua ubingwa AU aliyepata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akatolewa nusu fainali?
Umeambiwa msimu huu sio msimu uliopita MkuuKatika CAF CL msimu uliopita wa 2022/2023, Ahly na Mamelodi walikuwa katika group moja, na Al Ahly alipoteza kwa Mamelodi 5-2 mechi ya kwanza na wakatoa sare ya 2-2 mechi ya pili, lakini wote wakaingia robo fainali. Huko mbele Mamelodi akaishia nusu fainali na Al Ahly akachukua ubingwa. Je, hapo nani ni unga, aliyeshindwa kupata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akachukua ubingwa AU aliyepata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akatolewa nusu fainali?
Ila Mamelodi watamuwezea Al Ahly, pia wako njema.Katika CAF CL msimu uliopita wa 2022/2023, Ahly na Mamelodi walikuwa katika group moja, na Al Ahly alipoteza kwa Mamelodi 5-2 mechi ya kwanza na wakatoa sare ya 2-2 mechi ya pili, lakini wote wakaingia robo fainali. Huko mbele Mamelodi akaishia nusu fainali na Al Ahly akachukua ubingwa. Je, hapo nani ni unga, aliyeshindwa kupata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akachukua ubingwa AU aliyepata ushindi walipokutana wenyewe kwa wenyewe ila akatolewa nusu fainali?
Katikati ya mechi dhidi ya USMA na Simba, Ahly alitoka kuzishinda mechi tano mfululizo dhidi ya Al Masry (4-0), Saint George (0-3), Saint George (4-0), ENPPI (3-0) na Ismailiy (3-1)
NB: Ili kutoa tafsiri sahihi, si vizuri kuonyesha mechi alizoshindwa kupata ushindi tu na kuzificha ambazo alishinda
kwanini usiwapongeze simba, usm na mamelodi kwa ubora wa defence zao?....
ahly pale egypt katupia magoli mechi zote za ligi alizocheza, tena goli zaidi ya 1, kwenye CL kampiga mtu 7-0 agg,.......
kwa simba akatupia goli 2 kwa mkapa (a record), na 1 kwao...jumla 3, kwanini asipongezwe simba aliyetoka nae 3-3? hapo hapo mnasema safu ya ushambuliaji ya simba mbovu....!
ukiangalia kwa makini ni kwamba ahly bado ni bora, ana defence bora ndio mana kafungwa 1-0 na mamelodi, ana offense bora ndio mana katupia 3 dhidi ya simba