sina shida yoyote na wachungaji hawa wa siku hizi, ila jambo ambalo nashindwa kulielewa hadi nawa doubt ni , kwanini wanakuwa na ulinzi mkali sana? pesa za huo ulizi ndio sadaka zilezile ambazo watu wanazitoa ili zieneze injili? na, kwanini sadaka zinazotolewa wanajifanya ni pesa zao na sio pesa za kanisa, wananunua magari makubwa ya garama, wanatumia pesa kwa maisha binafsi zaiku kuliko masha ya injili, halafu, hivi manabii waliopita kama Eliya, Musa, elisha, na wengine, na wahubiri wengine kama kina PAULO, PETRO, YAKOBO, YOHANA, na mitume wengine wale 12 wote, unaweza kuwafananisha na hawa wa siku hizi? mtu anakuja na convoy zaidi ya rais, na wanakaribisha san akiburi na majivuno/sifa binafsi kuliko hata kumpa sifa Mungu. tunawasikia kwenye tv kila siku, wanapokea sifa wao zaidi kuliko hata kumsifu Mungu...hivi huyu Mungu mwenye wifu anayependa kutetea utukufu wake ndio amewaruhusu wafanye hivyo?...sipendi kuona wana mlolongo wa magari kama rais obama, wakati wale wanaotoa sadaka hawana hata hela ya kula, halafu wanalazimisha sana sadaka ili watu watoe wao wawe matajiri.Eti kuna mtu alimnyang'anya mke....Huyo anayedai alichukuliwa mke alikuwa wapi??? watu wengine wakipata wake wazuri kazi kuwapiga ovyo na kuwatesa...mwanamke ameamua kujishika kisawasawa na Mungu wake. oooh nimenyang'anywa!!! alifikiri mke ni kibega!! ulipokuwa unampiga na kumchoma moto na kumpeleka police ulifikiri ni mtumwa!!!!
Mkamate Mungu wako kisawasawa mama!!! acha waseme mpaka wafe!!! Tena huyo jamaa asipotubu cha moto atakiona manake Mungu huwa anaangalia penye haki. Hivi GeorDavie ni mtu wa kumchukua mke wa Mtu??? kwa taarifa yake hakunyang'anywa na GeorDavie alinyang'anywa na Mungu...ajifunze jinsi ya kumtunza mwanamke, kumhudumia na kumpenda kwa dhati, Haoni hata aibu??!!! Mwanamke ni almas baba! sifa ya mwanamke ni abembelezwe!!
Kama ameshajifunza vya kutosha amwombe Mungu amrudishie mke wake. Watu wanaongea na kumsema mtu wa Mungu vibaya wakati hawajui ukweli uko wapi! Kwa hiyo alikuwa anampiga akifikiri kwa kuwa anamjua Mungu ataacha kuondoka au ataacha kusali. Tena ninamshauri huyo mwanamke asije akaondoka kwenye hiyo huduma hata angemrudia huyo mume!
Mkamate Yesu mama wa Upako!!! Simama Imara, kishujaa maneno yasikurudishi nyuma. walitaka wakukute kwenye nyumba ya mganga wa kienyeji. Sugua goti mama sijawahi kumwona aliyemkimbilia Mungu akiaibika!
Mie sina majibuKila nabii alipokuja alikuja na kitabu chake.. ila hawa naona kama wamekuja na miujiza.....
Wagalatia mnaangamia kwa kukosa maarifa....
Huyu ni msanii flani na mpiga dili wa mjini anayetumia ujinga wa wagalatia kama mtaji.
Enyi wagalatia nani amewalogwa??????
Channel ni mkulima before alikuwa msaidizi wa Goerdavie ... Kanisani kwake kuna mabaunsa ukiingia kutoka ni hadi ibada iishe, ukikaa sana chooni unafatwa!!! MengineMkuu ebu nipe data za huyu jamaa anayeitwa Joakimu Channel....nasikia alikuwa muhudumu kwa kanisa la huyu nabii...natamani kujua zaidi huyu Joakimu Channel
Ha ha haaaa aisee hilo kanisa au jelaChannel ni mkulima before alikuwa msaidizi wa Goerdavie ... Kanisani kwake kuna mabaunsa ukiingia kutoka ni hadi ibada iishe, ukikaa sana chooni unafatwa!!! Mengine
Huyu Geor Davie yupo kwenye harakati ya kuanzisha kitabu (biblia) chake. Kuna siku alikuwa anakielezea kwenye radio yake. Ni balaaKila nabii alipokuja alikuja na kitabu chake.. ila hawa naona kama wamekuja na miujiza.....
Channel ni mkulima before alikuwa msaidizi wa Goerdavie ... Kanisani kwake kuna mabaunsa ukiingia kutoka ni hadi ibada iishe, ukikaa sana chooni unafatwa!!! Mengine
Kwanza kipindi cha kufundisha neno ni kidogo sana ktk ibada ni ka dk 15 tu, muda mwingi ni miujiza na blah blah, halafu ana injili ya vitisho ka vile usipotoa sadaka biashara yako itafilisika na vitu ka hivyo, na ktk mahubiri yake hujisifu sana na kutumia kauli ka Roho mtakatifu ni mbabe n.k kama unalijua neno ukisikiliza mahubiri yake utaguna mpaka ung'ate ulimi. Mbali na hayo ana kashfa nyingi sana za uzinzi na hadi kuna ndoa amezivunja na ushahidi uko, pia jinsi anavyowatreat wasaidizi ni vituko
Huyu jamaa no shida jumapili hii nenda utakuja kutuambiaMengine yapi mkuu ebu funguka kidogo...huyu jamaa mambo yake ni controversial kama ya his excellency honorable Dev...nataka sana kujua zaidi kuhusu huyu channel..