Good point
Hata hivyo, unapoamua kuwa msema kweli usiyeegemea chochote, nadhani kwenye maelezo yako umeruka kipengele kimoja wapo kinachoifanya vita iwe ngumu kwa Israel na saa ingine iwe ni ya muda mrefu
Je? Hamasi anajulikana??? Au ni yule anayejificha kwa raia, watoto na wanawake? Ndiye yule anayejicha mahosipitalini na mashuleni?
Ukiwachukua Hamasi wote, nao wavae mavazi rasimi ya kijeshi, Hoja yako hii unaweza kuitetea?