Sometimes najutiaga hili li course...!!ilaa any way Maana kuna fikra nyingi za kwa ambaye hajui...!!
Kuhusu ajira kijana ni bahatii yako ilaa!! Usitegemee sanaa....kama life likiwa tight unaja huku chuga unakuwa mwana apollo huku au kule geita unaenda piga chepe kama kawa...!!
Ila dogo jipange kwa msulii ..sio mchezoo na maroot huko mbeya chimalaa.