Gentleman...!!!

Kama kawaida yake huyu jamaa kwenye mavazi anajielewa mno...
 
hamna kitu hapo, yaani kwa maoni yangu kijana wa kiume anapovaa hereni sikioni basi naonaga mchumba fulani tu.
 
huu ndo ushoga wenyewe,mwanaume unatoboaje maskio[emoji35]
 
Mtoto wa kiume na kuvaa heleni sikioni... alafu mnanuita Gentleman..... Pumbavu zetu nyoote mlio msifia huyu boya
Ungefanikiwa kuishi Beverly hills hata for few hours ungeshangaa na roho yako kama pastor tu mwenyewe anavaa pinlets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…