Gentleman agreement

Gentleman agreement

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
204
Nahitaji kuwa na mtu mmoja wa kufanya nae biashara kubwa ya stationary kibwa sana mjini Bukoba,,awe seriously kwa hilo mimi nipo Dar es salaam ila ni mzaliwa wa Maruku,yeye awe ni mtu ambae makazi yake yawe Bukoba,, njoo ijbox tuongee
 
Partnership kwa waafrika kwenye biashara ni changamoto, bora uanzishe utafute mtu wa kumuajiri, na weka mazingira ya kumfanyia auditing.
 
Back
Top Bottom