Genius Zitto Kabwe on Escrow

Kaka hoja kwanza umeielewa? Je kuna point za msingi au hakuna? Tukiacha makandokando ya mtoa hoja.
 



 
Alaaa kumbe huu ulikuwa ugomvi binafsi wa Zitto na IPTL.. Sasa Magufuli kauchukua ugomvi wa mtu binafsi ili iweje? Au ndio yale mambo ya Jakaya na EPA na kuwakamata kina Jeetu Patel?
 
Alaaa kumbe huu ulikuwa ugomvi binafsi wa Zitto na IPTL.. Sasa Magufuli kauchukua ugomvi wa mtu binafsi ili iweje? Au ndio yale mambo ya Jakaya na EPA na kuwakamata kina Jeetu Patel?
Watu na Chuki zao dhidi ya Zitto lkn ukweli unaonekana
 
Hii hatari
 
Kifupi sehemu ya fedha za escrow ndizo zilitumika kumuingiza Pogba madarakani ingawa aliwahi kusema hakupata mchango wa yeyote uliyomuwezesha kutua ikulu. Na kashfa hii haina tofauti na kashfa ya EPA. Iwapo kesi hii itaamuliwa tofauti na matarajio ya wengi ndiyo itakuwa tiketi ya Pogba kung'oka ikulu 2020 ingawa upo uwezekano mkubwa wa kuondoshwa kwa sabb nyingine
 
Love you JF....haya mambo yalishajadiliwa humu wapo waliobeza oooh hana ubavu na wengine wakasema Kwa kumuomba ashughulikie issue hii naona Leo wameaanza kupata majibu nimeamini JPM ni smart sana hakurupuki Kwa kusikiza makelele ya watu mpaka kwanza akamilishe vitu flaniflani hivi...good job my president...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…