So what brother unafurahi nchi kuibiwa na matapeli??Tatizo hana maslahi hapo angekuswa mfadhili wake dau angebaki bubu tu
Kutulia namna gani....???TULIENI magufuli atawashugulikia walitoa hasara nchi kwa u taratibu uleule uliowashglikia Akina Yona na Mramba.
TULIENI magufuli atawashugulikia walitoa hasara nchi kwa u taratibu uleule uliowashglikia Akina Yona na Mramba.
ukiambiwa BABA kazungukwa na mafisi, mbwa mwitu na mbweha mnatoa povu. kama BABA anauwezo apambana na haya mafic, mbwa mwitu na mambweha. BABA hata ubav wa kuongelea hili hana jaman, pole mama tanzania pole watanzania kwa ujumla mana ndio walpa kodi
Nathubutu kukuita wewe ni mkimbizi Wa fikra uliekufa mawazoTatizo hana maslahi hapo angekuswa mfadhili wake dau angebaki bubu tu
ukiambiwa BABA kazungukwa na mafisi, mbwa mwitu na mbweha mnatoa povu. kama BABA anauwezo apambana na haya mafic, mbwa mwitu na mambweha. BABA hata ubav wa kuongelea hili hana jaman, pole mama tanzania pole watanzania kwa ujumla mana ndio walpa kodi
Daaah nyie ndio raisi Rodrigo duterte anawapiga shaba.... Kuwa na mwanachi kama wewe no bora uwe na miashoki uwani utapunga upepoZitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!