Pole sana. Vibaka wanakera kweli. Ndo mtu akikuta kibaka amevishwa tairi unasaidia kukusanya kuniNdugu zangu leo nimevamiwa na vibaka ofisini kwangu wakafanikiwa kumwibia mteja sim begi na hela nilichofanya nimeripoti polisi kisha wakati tunarudi tukakutana na wale vibaka nikawaambia tafadhali rudisheni begi letu kuskia hivyo wakatoa mapanga na visu mimi nakatoa panga langu pia kukabiliana nalo kisha nikammwambia dogo akawaite polisi kwani kituo hakiko mbali huku mm nikipiga kelele za wezi lakini hakutokea mtu na polisi wakamjib dogo tutawakamata kesho imagine niko mwenyewe nakabiliana na vibaka watano af polisi wanajib tutawakamata kesho ilihali wako na vitu vyetu na bado wanakabiliana na mimi
....jaman nimeshindwa hata kuelewa msaada wangu uko wapi kama polisi wananiachia soo mwenyewe na vibaka wakatokomea na begi sim na hela
Ungemwambia dogo awaambie polisi kuwa “kuna brother wangu kada wa ccm anakabwa na vibaka” wangekuja fasta tuNdugu zangu leo nimevamiwa na vibaka ofisini kwangu wakafanikiwa kumwibia mteja sim begi na hela nilichofanya nimeripoti polisi kisha wakati tunarudi tukakutana na wale vibaka nikawaambia tafadhali rudisheni begi letu kuskia hivyo wakatoa mapanga na visu mimi nakatoa panga langu pia kukabiliana nalo kisha nikammwambia dogo akawaite polisi kwani kituo hakiko mbali huku mm nikipiga kelele za wezi lakini hakutokea mtu na polisi wakamjib dogo tutawakamata kesho imagine niko mwenyewe nakabiliana na vibaka watano af polisi wanajib tutawakamata kesho ilihali wako na vitu vyetu na bado wanakabiliana na mimi
....jaman nimeshindwa hata kuelewa msaada wangu uko wapi kama polisi wananiachia soo mwenyewe na vibaka wakatokomea na begi sim na hela
Haaaaaa haaaaaaa nyie so ndiyo wale mlichoma moto kituo cha polisi enzi zile mkasema hamhitaji polisi tena mkajiona wajanja kweli .Sasa dhambi inawatafuna hasa maana hata mkiitaji hao polisi wanakuja kesho maana kituokituo kipo mbali magari yapo machache mmeletewa huduma karibu mkadharau .Haaaaa Mlifikiri mnazaa mitume manabii na malaika . Sasa shahawa zenu na maamuzi yenu yanawatesa.Naikumbuka ile siku nilikuwa Tarime naangalia ITV habari eti hawa watoto wa mamwinyi wa kizaramo na kindengereko wamechoma kituo cha polisi .Yaani huku kwetu ubabe ubabeni mguu wa shingo mguu wa roho kata shingo kata miguu bado hatuchomi kituo cha polisi Eti nyie mnaasira Kali .Hiyo dhambi itawatafuna sana Kugola Atakapowakumbuka.Ndugu zangu leo nimevamiwa na vibaka ofisini kwangu wakafanikiwa kumwibia mteja sim begi na hela nilichofanya nimeripoti polisi kisha wakati tunarudi tukakutana na wale vibaka nikawaambia tafadhali rudisheni begi letu kuskia hivyo wakatoa mapanga na visu mimi nakatoa panga langu pia kukabiliana nalo kisha nikammwambia dogo akawaite polisi kwani kituo hakiko mbali huku mm nikipiga kelele za wezi lakini hakutokea mtu na polisi wakamjib dogo tutawakamata kesho imagine niko mwenyewe nakabiliana na vibaka watano af polisi wanajib tutawakamata kesho ilihali wako na vitu vyetu na bado wanakabiliana na mimi
....jaman nimeshindwa hata kuelewa msaada wangu uko wapi kama polisi wananiachia soo mwenyewe na vibaka wakatokomea na begi sim na hela