Dirty mouth.
Unataka kusema thithi wote ni wapare?
Habari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana ambao ni non-tongue rollers.Hii ina maana kuwa, wazazi/ watanzania wengi kama sio non-tongue roller basi ni carrier.Elimu ya genetics....Kuwatambua, ni pale anapotakiwa kutumia "s" kwenye Kiswahili chetu, mfano neno sasa, yeye atakuambia "thatha"
tongue rolling ina umuhimu gani?Habari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana ambao ni non-tongue rollers.Hii ina maana kuwa, wazazi/ watanzania wengi kama sio non-tongue roller basi ni carrier.Elimu ya genetics....Kuwatambua, ni pale anapotakiwa kutumia "s" kwenye Kiswahili chetu, mfano neno sasa, yeye atakuambia "thatha"
Mfano uliotoa wa 's' na 'thi' haviendani kabisa na picha ulizoweka hapo. Kwa kifupi mada yako ina walakini kisayansi i.e. unatudanganya. Kwanza tunapozungumza ulimi hau-roll bali una-curl hasa its front part i.e. the tip, na pia una-spread.
Sasa madhara yake ni nini?
Nataka kusema "kuthema"......