Genetics: Watanzania wengi ni carrier wa non-tongue roller

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,907
2,091
Habari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana ambao ni non-tongue rollers.Hii ina maana kuwa, wazazi/ watanzania wengi kama sio non-tongue roller basi ni carrier.Elimu ya genetics....Kuwatambua, ni pale anapotakiwa kutumia "s" kwenye Kiswahili chetu, mfano neno sasa, yeye atakuambia "thatha"
 
Attachments

  • No title(1).jpg
    No title(1).jpg
    39.3 KB · Views: 903
  • No title.jpg
    No title.jpg
    37.2 KB · Views: 602
Mkuu DZUDZUKU hebu weka picha ya ulimi ambao UK rolled tuone na kujaribu
 
Last edited by a moderator:
Hivi inakuaje unashindwa kuroll ulimi wakat ni kitu rahisi sana. Hakihitaji hata nguvu nachekaga sana mtu asiyeweza
 
All i know is i roll my tongue pretty well, better ask somebody. And you're going to hell for thinking that i'm thinking what you think i'm thinking, on damn Sunday. I know your minds are dirty.
 
Hivi inakuaje unashindwa kuroll ulimi wakat ni kitu rahisi sana. Hakihitaji hata nguvu nachekaga sana mtu asiyeweza

Genetics mkuu, na kwa sasa wengi ni non-tongue rollers na tunaendelea kuona kawaida.
 
Sijaelewa wanaweza kuroll ndo wanaongea thatha au wasioweza kuroll?
 
Habari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana ambao ni non-tongue rollers.Hii ina maana kuwa, wazazi/ watanzania wengi kama sio non-tongue roller basi ni carrier.Elimu ya genetics....Kuwatambua, ni pale anapotakiwa kutumia "s" kwenye Kiswahili chetu, mfano neno sasa, yeye atakuambia "thatha"
Hii mada imekaa kitabibu zaidi kuliko kimahusiano. INNOVATOR, naomba uipeleke
JF doctor.
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom