Buhamila
Senior Member
- Feb 5, 2012
- 160
- 82
Habari ya asubuhi wana jf.
Napenda kupata ushauri ninunue generator ya Kv ngapi inatayoniwezesha kupata mwanga na matumizi mengine ya nyumbani kwa kipindi hiki make umeme bado haujafika ktk eneo hilo ila imenibidi nihamie kwangu hivyo hivyo
Naomba ushauri