Generator kubwa 10kva linahitajika haraka

Generator kubwa 10kva linahitajika haraka

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
771
Wakuu
Nahitaji generator kubwa la kva 10 na kuendelea maximum 20kva....liwe kwenye hali nzuri sana na lisiwe magumashi...
Liwe dar es.salaam....
Weka mawasiliano yako au pm...
First come first served
 
cheki na hawa watu wamenisaidia sanaaa
 

Attachments

  • 1427191171550.jpg
    1427191171550.jpg
    35.1 KB · Views: 63

Similar Discussions

Back
Top Bottom