CCM ilaumiwe kwa hili!Kwann wabongo HUOGOPA SANA KUWEKA BEI za bidhaa wanazotangaza mitandaoni???.
Kulinda mda na kuvutia customers ungeweka bei hapa hapa...Bei inategemea na Bidhaa unayoitaji Mkuu
😂🤣CCM ilaumiwe kwa hili!
Bei nafuu ndo bei gani unaweka kifaa na bei yake pana ugumu upi sasa?Hii Generator Controller ya Deepsea. ( Hiki n kifaa cha kuwasha na kuzima Generator pamoja na kucontrol mfumo wote ndani ya generator). Kinapatikana kwa Kipya ( New & Used) kwa Bei nafuu sana.
Naomba bei ya kila Engine hapa ikiwa complete kama nilivyo ziona kwenye pichaTunauza Engine mbalimbali za mitambo Generator, Air compressor and Earth Moving Machine.
Engine Brand ambazo zipo
Catpillar
Perkins
Volvo
Deutz
Yanmar
KUbota
RIcardo etc.
Karibuni sana
Vipi screw compressor?Habar......,!!
Sisi ni Mkandarasi kwa upande wa Umeme na mitambo(Mechanical). Pia nina fanya Biashara za kuuza na kununua Generator and Air compressor pamoja na Spare part zake.
Nina Generator za kuanzia kva 16 had kva 500. Pia nnafanya Installation and consultant ya Generator (Umeme) kwa Bei nafuu kabisa. Nnauza magenerator Used na Mapya.
Kuna Air compressor kunzia bar 10 had 50. Kwa Brand kama
Sullair
Ingersol Rand
Hofman
Atras Capco
Zenye Engine za Yanmar, Kubota na Deutz na Isuzu. Pia tunauza Spsre part mbal mbal kama Air separator, Stator, Dc alternator, Block, Gasket za kila Aina. Nk.
Karibuni sana
Office zpo Tabata Dar es salaam. Kwa huduma na Ushauri ntafute kwa namba
0713302846 kwa Whatsapp na Normal Call.