Tatizo la CCM ni kama aliyeko juu ndio anaamua upate au usipate, akili au kipawa sio requirements, mnaowafikiria sijui kina Mwigulu, makonda,Kikwete mdogo etc wanaweza wakazibiwa na msiwasikie tena, ndio faida ya kuingizwa kwenye system kwa favor au kura za wizi, utalamba makalio yao mpaka mwisho wa dunia