Huyu jamaa ni patriot mwana mapinduzi halisi anaitetea Uganda ipo siku wauganda wote watakuja muelewa,haiwezekani uganda atawale tu yule dictator tangia 1986,yule museven ni mlafi sana wa madaraka,sasa wauganda wanafumbuka macho,Na jeneral Sejusa ni mwiba kwake Museveni na Naamini atamshinda
Kabla ya hapo haliwahi hadi buruzwa court martial(Gen Sejusa) mwaka 1996 akashinda na hata akapelekwa supreme court akashinda na jamaa historia yake hataki uraisi anahitaji tu democrasia ya uganda na kuundoa ukandamizaji,Rushwa,udhalimu,ufisadi wa wachache tu uganda
Na mbaya zaidi Museveni anataka kumpandikiza General Brigedia Kamuhanda(mtoto wa museveni) yani utawala wa kifalme
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums