serikali wamekinunua toka kwa mwekezaji wa awali now ni mali ya serikali sidhani kama kinauzwa....maana nilisikia wanataka kukifufua upyaJe Serikali inafufua General Tyre au inauza General Tyre?
Mwenye taarifa kuhusu kufufua hiki kiwanda atuambie tafadhali
Kama magari yote haya yanatumia matairi na kiwanda kimekufa kwenye soko kubwa la namna hii... watz tuna matatizo makubwa sana kichwani... hopeful JPM atatatua mtego huu na kukiendesha kiwanda hiki kwa faida.... bila Ubia... kiwe kiwanda cha mfano...
Mkuu hata sijui nani alituroga.... yaani kuna wakati hata huwa na question uwezo wa baba wa taifa kwenye masuala ya kiuchumi na hasa viwanda.... maana alivijenga kweli lakini sikuona kama aliweka solid foundation na sheria za kuvilinda na kuviendesha.... na kwa sabb walio fuatia hawakukuta hiyo solid foundation basi wakafanya yao.....Mkuu kwani umesahau arusha wanatengeneza transformer lakini tanesco wananunua transformer toka India, hii ndiyo Tanzania kila kitu ni dili