kampuni zimekuwa nyingi balaa,Dah TV imekuwa kama takataka sasa
😂😂😂😂😂kampuni zimekuwa nyingi balaa,
kuna nyingine nilikuta inaitwa "introvert"
Ni nzuri na Bei zao ni reasonable.
Ishu ni je zinadumu?
At least four years,huwa nachukia kurudiarudia kununua kitu kimoja kila mwaka.Unataka idumu miaka mingapi..?
At least four years,huwa nachukia kurudiarudia kununua kitu kimoja kila mwaka.