A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 22, 2024 #1 Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families, 1. Kenyatta, 2. Moi(Ruto) na, 3. Odinga) Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha
Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families, 1. Kenyatta, 2. Moi(Ruto) na, 3. Odinga) Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 2,063 Reaction score 4,620 Jun 22, 2024 #2 Bora wao kuliko mizoga inayotembea Tz🤣
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 22, 2024 Thread starter #3 de Gunner said: Bora wao kuliko mizoga inayotembea Tz🤣 Click to expand... Tofauti ipo wapi!
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 2,063 Reaction score 4,620 Jun 22, 2024 #4 Andrew123 said: Tofauti ipo wapi! Click to expand... Kama huoni tofauti nawe ni mzoga, uliyejanjaruka
Andrew123 said: Tofauti ipo wapi! Click to expand... Kama huoni tofauti nawe ni mzoga, uliyejanjaruka
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2024 #5 Hebu jaza nyama kwenye hii pointi yako mkuu, ulitaka kumaanisha nini?!
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,997 Reaction score 41,627 Jun 22, 2024 #6 EMMYGUY said: Hebu jaza nyama kwenye hii pointi yako mkuu, ulitaka kumaanisha nini?! Click to expand... anamaanisha siasa za kenya zinahodhiwa na familia hizo, yaani wakikuyu, wakalenjini na waluo, nje na hapo hakuna wa kubadilisha mambo
EMMYGUY said: Hebu jaza nyama kwenye hii pointi yako mkuu, ulitaka kumaanisha nini?! Click to expand... anamaanisha siasa za kenya zinahodhiwa na familia hizo, yaani wakikuyu, wakalenjini na waluo, nje na hapo hakuna wa kubadilisha mambo
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,415 Jun 22, 2024 #7 LOTH HEMA said: anamaanisha siasa za kenya zinahodhiwa na familia hizo, yaani wakikuyu, wakalenjini na waluo, nje na hapo hakuna wa kubadilisha mambo Click to expand... Ahaa!!! Kumbe 🤔
LOTH HEMA said: anamaanisha siasa za kenya zinahodhiwa na familia hizo, yaani wakikuyu, wakalenjini na waluo, nje na hapo hakuna wa kubadilisha mambo Click to expand... Ahaa!!! Kumbe 🤔
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,880 Reaction score 32,653 Jun 22, 2024 #8 de Gunner said: Bora wao kuliko mizoga inayotembea Tz🤣 Click to expand... Kumbe wewe ni mzoga?🙂
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 22, 2024 Thread starter #9 Vijana wanadhani mambo ni rahisi Kwa kuandamana
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 23, 2024 Thread starter #10 Who owns Kenya? Familia 4 tu
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 23, 2024 #11 Andrew123 said: Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families, 1. Kenyatta, 2. Moi(Ruto) na, 3. Odinga) Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha Click to expand... Fanya ya kwako wewe chawa. Kimbelembele Cha Nini?
Andrew123 said: Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families, 1. Kenyatta, 2. Moi(Ruto) na, 3. Odinga) Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha Click to expand... Fanya ya kwako wewe chawa. Kimbelembele Cha Nini?
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 23, 2024 #12 Andrew123 said: Vijana wanadhani mambo ni rahisi Kwa kuandamana Click to expand... Kaa kimya. Wewe kama ni maiti Baki kwenye fridge ya mortuary.
Andrew123 said: Vijana wanadhani mambo ni rahisi Kwa kuandamana Click to expand... Kaa kimya. Wewe kama ni maiti Baki kwenye fridge ya mortuary.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 23, 2024 #13 Andrew123 said: Who owns Kenya? Familia 4 tu Click to expand... Stupid idiot. Unajifanya kulijua Kenya wakati hujui lolote.
Andrew123 said: Who owns Kenya? Familia 4 tu Click to expand... Stupid idiot. Unajifanya kulijua Kenya wakati hujui lolote.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 22,138 Reaction score 32,716 Jun 23, 2024 #14 Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu.
Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu.
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Jun 24, 2024 Thread starter #15 econonist said: Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu. Click to expand... Kibera stand up
econonist said: Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu. Click to expand... Kibera stand up
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,880 Reaction score 32,653 Jun 24, 2024 #16 econonist said: Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu. Click to expand... Bavichaa ni vijana waoga sana, wamebaki kunong'ona tu mtandaoni na kulaumu wengine😎😁
econonist said: Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu. Click to expand... Bavichaa ni vijana waoga sana, wamebaki kunong'ona tu mtandaoni na kulaumu wengine😎😁
NairobiWalker JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 16,386 Reaction score 17,968 Jun 24, 2024 #17 de Gunner said: Kama huoni tofauti nawe ni mzoga, uliyejanjaruka Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,187 Reaction score 20,640 Jun 24, 2024 #18 Kumaanisha kumaqnisha nini 🎶
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,808 Reaction score 6,564 Jun 24, 2024 #19 Haina noma kila kitu mwanzo huwa kinaonekana cha kawaida au kushangaza au kibaya au hakina maana. Quotes Things start out as hopes and end up as habits. Lillian Hellman
Haina noma kila kitu mwanzo huwa kinaonekana cha kawaida au kushangaza au kibaya au hakina maana. Quotes Things start out as hopes and end up as habits. Lillian Hellman
B blac_boi Member Joined Jun 14, 2024 Posts 28 Reaction score 18 Jun 24, 2024 #20 Amekubali kukutana nao. View: https://youtu.be/fNmSe34IMoI?si=PTL4z34ZAwyOjGWH