USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,664
Pita bar ya kwa God mbezi Louis unakuta walinda milango ya bar wenye (vifua unfit people) wakiwa ndani ya sare za JWTZ mpya tena nzuri 100% na but nzuri zile za UNO au mabaka hii ni dosari kwa jeshi letu
Pita 5N temboni usiku JWTZ combat kama kawa na baunsa wamepigilia na buti kama wako kambini vile na zile buti za mabaka.
Kwa kipindi hiki ambacho taifa limeanza kuzorota kiusalama hasa mitaani itakuja kuwepo sababu kuwa wanaofanya hivi ni vijana wako please kuwa mkali kabisa
Tunajua kunavijana mmewatimua na wengine wapo mitaani wamekaa makambini wakijitolea ila kuvaa sare bar Ni kosa na kila askari anajua hili.
Ipo siku watazitumia katika uharifu na wananchi wenye jeshi lao hawata kuelewa kabisa kuwa wale sio vijana wako ,watasema mmewakana.
Please chukueni hatua haraka sana,anayetaka picha aende muda huu kwa God bar ipo round about ya makabe,goba,stand na stand mpya.