Gem baada ya ugomvi/rabsha kwa nini hunoga kwa mno ?

utampoteza mazima, ila ni kweli gemu ua tamu kinoma! mpaka unasema mlikua na kiu ya miez mia nn? kumbe unakuta ni cku 3 tu mlikua kwenye ugomvi!

Umejuaje? Real kiongozi!
 
Mwenzi wangu ana tabia ya kuni provoke halafu nikikasirika tunapokuwa kunako 6x6 anaanza ku apologize kwa mahaba then na mimi namsamehe halafu linapigwa gemu halina mfano wake, kusema kweli gemu baada ya ugomvi ni nouuma, linanoga kichizi, nikagundua kumbe my sweetheart alikuwa anafanya makusudi kunichokoza kwa kuwa mzuka wake haupandi mpaka tugombane...LOL!

Nampa big up mwenza wako na huo ni ubunifu adimu!
 
Eeeeeeh!!!!!! kumbe wenzangu game halichezwi kukiwa na conflict? mie sijawahi kulaza kiporo cha ugomvi na mwenza wangu. na tukigombana kabla utujapata suluhisho, kwanza game alafu aliyemkosea mwenzie aombe msamaha kabla siku haijaisha. ugomvi gani huo hadi kunyimana game! 3days mi siwezi.

Mmmh! Probably coz peoples are different
 
Umenikumbusha movie ya 'why did i get married'. Hicho kitu inabidi nikitaftie siku nikipractice. Lol.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom