GEITA : Wachina wafanya unyama tena, wapiga mtu hadi kulazwa hospitalini huku hajitambui

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,267
4229a75dd794780a5330cdfcec468b23.jpg


Mkazi wa Kijiji cha Nyarugusu Mkoani Geita, Elisha Sylvester (26) amelazwa katika wodi nane katika Hospitali teule ya Mkoa wa Geita huku akiwa hajitambui baada ya kudaiwa kupigwa na raia wawili wa China

Hili ni tukio la pili kutokea mkoani hapa baada ya Julai 6 mwaka jana mkazi wa Kijiji cha Nyamitondo tarafa Butundwe, Masanja Shilomero (25) kushambuliwa na mwajiri wake ambaye ni raia wa China Myo baada ya kuomba kupandishiwa mshahara

Hata hivyo Sylvester anadaiwa kufanyiwa unyama huo Januari 19 mwaka huu ndani ya mgodi unaomilikiwa na wachina hao uliopo katika kijiji cha Mawemeru, Kata ya Nyarugusu wilayani Geita

Mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa wachina hao ambao majina yao hayakupatikana walimshambulia kijana huyo ambaye ni Mfanyakazi wa mgodi huo kwa fimbo, ngumi na mateke baada ya kumtuhumu kuiba mawe mawili ya dhahabu

"Baada ya kijana huyo kupigwa, alifikishwa katika kituo kidogo cha polisi Nyarugusu na kuchukuliwa maelezo kisha kupewa PF3 na kulazwa kwenye zahanati ya Nyarugusu akipatiwa matibabu". alidai shuhuda huyo.


Chanzo: TanzaniaDaima
 
Acha tuendelee kuisoma.namba.
Kwa uhakika ukiwa nje ya Tanzania, ndipo utakapoelewa ni kiasi gani nchi zingine zina thamini raia wake.

Pole sana kijana uliyefanyiwa tai chiii na wachina , nikutakie afya njema.

katika hali halisi inauma sana na kusikitisha mno pale unapomkaribisha mtu kwako na akageuka kuwa muungu mtu
Japo hili naona ni Tanzania pekee iko hivi kwa kweli; mfano, nimepita sehemu nyingi hata hapa Africa tu sijaona upuuzi kama huo, hata Nigeria tu wananzengo tu watakufundisha adabu ukimfanyia hivyo mnaigeria wao.

Siku njema wana JF
 
Inabidi wafanyakazi wa kitanzania wapate mafunzo ya kung fu ili waweze kukabiliana na vipigo vya wachina maana hakuna namna
 
Wachina siyo binadamu kwa mwonekano wao tu, matendo na tabia zao; waangalie tu wanavyointeract na binadamu-hamna kitu kabisa hawa wanyama socialization zero wamezidiwa na magaiadi ya arabie.
Kama wachina ni binadamu na wanazo sifa za ubinadamu basi waafrika si binadam bali ni nyani tu kama Vasco da Gama na wenzake walivyowachukulia mababu zetu, ila hapana sisi weusi ni binadamu na wale wenye macho madogo ni tumbili waliohama mashimo yao na kujenga maghorofa
 
Acha waisome namba, Kuna Waarabu wamefungua mgodi pale Nyarugusu unaitwa KASCO WANAGAWA MAKOFI NA MATUSI KWA WAZAWA YA NGUONI. KUITWA K WEWE MZEE MZIMA NI KAWAIDA KWAO.

UONGOZI WA KIJIJI NA KATA UKO KIMYA, PIA TAMBUENI WATU WENGI WA GEITA HAWAJASOMA ELIMU YA MAANA, HIVYO HAWANA ELIMU YA URAIA, HAWAJUI HAKI ZAO PIA.

HUENDA WAKIENDELEA KUPIGWA KARATE WATAAMKA TOKA USINGIZI WA NUSU KAPUTI ULIO CHANGANYILA NA UJINGA. CCM OYEEEEEE
 
Inabidi siku moja tuuweke uvivu pembeni hawa wachina wale kichapo mpaka polisi waukubali mziki wa raia wenye hasira kama ni ujinga sasa baaaasi
 
haya maishac jui yataisha lin...wzungu na waarabu walipiga babu zetu mijeledi sasa hivi wamekuja wachina nao wanatushushia vipigo
 
Kuna haja ya kutafuta namna ya kujinusuru kutokana na vipigo kwa hawa jamaa...! maana wanatesa raia sasa
 
Mwaka jana lilitokea tatizo kama hili akaenda kuokoa jahazi, hivyo sioni tatizo.

Limejirudia kwa sababu wananchi hawakumalizana vizuri na wachina waliohusika.
Cha muhimu ni kusikia wageni wakilalamika na waogope kumgusa mwenyeji.
Hatua ya kwanza ya kujilinda ni wewe mwenyewe, serikali na sheria vitafuata baadaye. Usipochukua hatua mwenyewe, msaada wa serikali hautakuwa na maana kwa sababu utakuwa umeshapoteza tayari.
Ni muhimu kufundisha wananchi wetu hilo.
 
Back
Top Bottom