Geita mji wenye pesa

Geita mji wenye pesa

Nasikia ule mji wa London ndio ramani ya Geita, yaani namaanisha jins london ilvyo ndivyo Geita ilipaswa kua,
Kwel Geita pazur
 
Mkuu pale geita ni nini hasa kinaufanya mji ule ukue kwa kasi...kama biashara ni biashara ipi?
 
kwahiyo mnajisifia kuwa ni mji wenye pesa ..wakati wananchi wanakufa na njaa wanakosa hata zahanati za kisasa ilhali mji wao umetapakaa ardhi yenye madini ..

kwanza mlitakiwa muone aibu katk hilo tu ..
 
Geita inakuwa kawaida sana ukilinganisha na Miji mingine ya aina yake kanda ya ziwa.. Kasamwa inakuwa kwa kasi... Nyarugusu.. Kakola ..Ukiachilia miji kama Kahama na Nzega ambayo inakuwa na kuiacha Geita mno
 
Madini uyasikie tu kwa rafk yako kufirisika ni kugusa alafu ni kazi ngumu ya kwanza dunia ##
 
Geita hata ukifuga fisi unatusua ( fanikiwa) kimaisha uchawi ni sehemu ya maisha yao maalibino hawana amani
 
Geita fursa nje nje basi tu hatupendi kujishughulisha
 
Loooh, umenikumbusha shule yangu GESECO wakati huo ikiitwa Sekondari kweli kweli!
 
Natamani kwenda hila naogopa Mambo ya Uko navyosikia Ngoja nijibane hapa hapa
 
Shughuli zilizopo ni fursa tosha, siwezi zitaja nikamaliza, machimbo ya madini, kilimo na biashara wala huhitaji mganga kutoka ki-maisha.

You are most welcome!
Geita ile ambayo mpaka sasa zinazotawala ni bodaboda za baiskeli au geita nyingine
 
Back
Top Bottom