Geita Gold Mine, msijaribu kumchukua Nole Shilatu

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,697
Ni katili, Hana huruma wala utu, anamkufuru Mungu Kwa kujifanya kuwa ameokoka kumbe ni mla rushwa mkubwa.

Kwa sasa ni HR manager wa Byrnecut Bulyanhulu, kampuni ya wakandarasi ambayo imebakiza mwaka mmoja na nusu, kumaliza muda wake.

Nole Shilatu akiwa amesahau ukatili aliowatendea vijana wa kakola, ameanza kuomba kazi tena Geita, ktk kampuni mpya ya kikandarasi ya africa Underground mining services.

Ameshatuma tayari maombi ya kazi, nipo hapa Geita kuhakikisha Nole hapati kazi.

Ninao ushahidi wa kurekodi na picha, natembea nao ili kuwaonyesha wahusika wa kampuni jinsi Nole alivyokula rushwa ya Steve ya sh mil 1.5 ili kumwajiri.

Na jinsi alivyokula rushwa ya sh mil moja ili kumwajiri Shaban, kijana mmoja wa kinyiramba.

Tabia za huyu jamaa hazivumiliki, na tayari nimeshakabidhi mkanda Kwa baadhi ya viongozi wa kampuni.

Nole tafuta kazi kwingine, achana na Geita, wewe ni mtu mwovu, na nimeapa kukushughulikia hadi ujifunze kuwa dunia ni ya watu wote na si ya wachache katili Kama wewe.

Mtu hana kazi halafu unataka atoe sh mil moja?

Ngoja utakiona cha moto maana unambipu Mungu.
 
Back
Top Bottom