Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Bad people are every whereCan anything good come out of GEITA?
Read very carefully before you attempt any question.Bad people are every where
May be gold and ushirikina!Can anything good come out of GEITA?
Toa maksi kaka, kama ni zero nijueRead very carefully before you attempt any question.
I know that bad people are found everywhere.
My question is....
CAN ANYTHING GOOD COME OUT OF GEITA??
Angalia
"Similar discussions about Geita"
Sad bad dad
Jeshi la Polisi wilayani Geita linamshikilia Vicent Said (27) mkazi wa Kata ya Magenge kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa kambo mwenye umri wa miaka saba.
Mtoto aliyebakwa
Tukio hilo limetokea Julai 2 katika Kijiji cha Sobora ambako mtuhumiwa anadaiwa kumrubuni mtoto huyo kwa maandazi na juisi ya Sh500.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa.
Kamanda amesema baada ya tukio hilo wapo watu wanaotaka kuharibu ushahidi ili mtuhumiwa aachiwe huru na kuwatahadharisha kuacha juhudi hizo mara moja kwani polisi hawatozifumbia macho ili haki itendeke.
Akizungumza na gazeti hili mtoto aliyefanyiwa kitendo hicho, alisema baba yake huyo amekuwa akimfanyia kitendo hicho mara kwa mara na pindi anapomfanyia humfunga mdomo na akimaliza humnunulia maandazi na juisi.
MWANANCHI
Mwaadera mhoraToa maksi kaka, kama ni zero nijue
Time is short
wakulaumiwa ni mke wake na wanawake wengine walio wachoyo wa kutoa kitafunwa kwa waume zao.
Jeshi la Polisi wilayani Geita linamshikilia Vicent Said (27) mkazi wa Kata ya Magenge kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa kambo mwenye umri wa miaka saba.
Mtoto aliyebakwa
Tukio hilo limetokea Julai 2 katika Kijiji cha Sobora ambako mtuhumiwa anadaiwa kumrubuni mtoto huyo kwa maandazi na juisi ya Sh500.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa.
Kamanda amesema baada ya tukio hilo wapo watu wanaotaka kuharibu ushahidi ili mtuhumiwa aachiwe huru na kuwatahadharisha kuacha juhudi hizo mara moja kwani polisi hawatozifumbia macho ili haki itendeke.
Akizungumza na gazeti hili mtoto aliyefanyiwa kitendo hicho, alisema baba yake huyo amekuwa akimfanyia kitendo hicho mara kwa mara na pindi anapomfanyia humfunga mdomo na akimaliza humnunulia maandazi na juisi.
MWANANCHI
Akili yako mbovu! Mibaba mingine imezidiwa na tamaa za mwili, anatoka kwa mkewe bado anamfuata binti, au hulijui hilo?wakulaumiwa ni mke wake na wanawake wengine walio wachoyo wa kutoa kitafunwa kwa waume zao.
Wanawake acheni dhambi ya kubania waume zenu utamu, mpaka kupelekea matatizo ya kubaka watoto wadogo. Hivi wanawake mliolewa ili mkawe mapambo au mkashughulike?
Huyu mwanamke wa mtoto aliyebakwa, mke wa mtuhumiwa yaonesha dhahiri kabisa alikuwa anambania mumewe utamu au hakuwa anamridhisha mumewe na matokeo yake ndo kama ilivyokuwa.
Wanawake acheni kubania waume zenu, hamkuolewa kuwa mapambo, na unapompatia mumeo akikisha unakata uno haswaaaaa!!! na ushughulike ili kuepusha haya yanayotokea. Mara kubaka, mara michepuko, mara kufumaniwa.
inabidi wanawake wapewe semina yao maalumu. Kuna wanawake ni magogo vitandani ndo maana michepuko imechukua nafasi zao.Akili yako mbovu! Mibaba mingine imezidiwa na tamaa za mwili, anatoka kwa mkewe bado anamfuata binti, au hulijui hilo?