GEF namba ni nini?

nyanjiiii

Senior Member
Aug 23, 2014
112
72
Jamani wanandugu naomba kujuzwa nini mana ya GEF namba? Nimeona mahali lakini cfahamu na ninatakiwa kuijaza, asanteni
 
Jamani wanandugu naomba kujuzwa nini mana ya GEF namba? Nimeona mahali lakini cfahamu na ninatakiwa kuijaza, asanteni

Mahali ndio wapi?Hujui kuwa vifupi hutumika sehemu mbali mbali kutegemea na field hiyo

Sasa sema umeiona wapi ili utajiwe
 
Back
Top Bottom