Gear box ya 3y engine inahitajika

Gear box ya 3y engine inahitajika

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,190
Reaction score
1,324
Jambo wadau.
Inahitajika gearbox ya kufunga kwenye engine ya 3y kwenye pickup ya toyota hilux ilikua ni automatic nataka kuibaidilisha kuwa manual.
Mwenye nayo anichek tufanye biashara fasta mi nipo kibaha
 
duh iko juu ivo hiyo si hela ya ki baby walker kabisa. Je ni complete set mpaka pedals zake au
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom