Habari za Muda Huu WanaJF,
Leo nimeona nishare kidogo hii App mpya ya GBinstagram kuna wengine mmekutana nayo lakini wengine nado
Hii App ometengenezwa na Developer aliedesign App ya GBWhatsApp
Sasa ni kwanini Utumie GBinstagram na siyo Instagram (official)?
โขIna uwezo wa kudownload Picha, Videos, Stories n.k Bila ya kutumia application mbadala kama vile Insta Downloader. Application hii yenyewe inajitegemea
โขIna uwezo wa kucopy text na Comments. Lakini Official haiwezi
โขIna uwezo Ku-run account zaidi ya 1.. Yani kuswitch Account.. Yani mfano una account mbili za instagram basi unaweza kutumia kwa App moja Ya GBinstagram bila kulogout ile ya mwanzo nikama ilivyo facebook kwa sasa
โขIna uwezo wa kuonyesha link ulizoshare na mtu mwingine akaziclick (blue link) ..official Bado hawana feature hiyo
โขIna uwezo wa kuzoom picha au video... Official sidhani kama ina huu uwezo....
โขIna uwezo wa kutafsiri Lugha mfano Umetumiwa meseji ya Kiarabu unataka uisome kwa kiingereza
Na mengine mengii mazuri
=> Kwahiyo wew mwenyewe utapenda utumie ipi Kazi kwako
Kwa wapenzi wa GBWhatsapp najua lazima mtaipenda GBinstagram.
Download Hiyo APK hapa
GBInstagram V1.50 >>>>>
www.gbmods.com
kuna hii pia
GBinstagram+ V1.50
www.gbmods.com
NB:: Hii haina utofauti na Instagram yako unatumia account ya instagram kulogin hakuna kitu utakachokipoteza nikama vile unavyotumia Facebook Lite badala ya kutumia Facebook official App....Ina muonekano ule ule wa instagram ila yenyewe imeongezewa feature nyingi .. Watumiaji wake ni wale wale wa instagram na sio unatumia acc tofauti na ya insta..