GB WHATSAPP...

Binman

Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
68
Reaction score
30
Habari zenu wakuu... Nina tatizo moja,, natumia Gb whatsapp ni latest vission nikiweka video status.. Then nikija kuichek nakuta haitoi sauti but ni video yenye sauti.... Na sijatouch pale pa GIF... msaada plz
 
Ongeza sauti wakati unaplay.
 
Me muda wote inataka niupdate, nikienda kwenye update inatoa kiarabu tupu
 
Mwenye latest version please anisaidie link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…