hilo bundle kikomo chake ni 1GB
Duh, movie kumi??? Au episodes 10??. Coz, hata huko kickass.to kwenyewe movie ya ukubwa mdogo sana labda ya 780Mb na hapo ni quality ya 720p. Sasa mkuu na hii bila kikomo ya 1Gb ambayo spidi yake inaanza shuka ukishatumia 700Mb inakuaje hapo?. Ila sikubishii coz labda kuna namna unafanya!!!
wakuu sio kwamba nawatania Mimi kudownload movies nimeanza kitambo sana kwa kutumia hiyo hiyo bila kikomo na muvi ninazo download ni zile zenye quality ya juu..huwa movie nying ninazodownload zina anza na 700mb,900, 1gb,2gb na kuendelea.ngoja nitaapload picha muone.
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
Tatizo pale unapochagua movie torrent angalia kama ni DVDRip au kama ni Cam, kuna formats za aina nyingi torrent, pendelea kudownload movies zenye quality ya 720 na kuendelea. Unapochagua muvi ukishaiona kwenye results ifungue link yake then soma descriptions. Torrents ni sehemu ambayo kila mtu anaweza akaweka movies zake, wengine wanarecord movies za maonyesho kwenye ukumbi wa muvi na kushare torrent hasa pale kama movie ni mpya na bado haijaanza kusambaa, inavujishwa na watu kwa kurecord first release yake na movies hizo haziutwi so ukija next time unatakiwa utafute format nyingine. Kama unapenda movies mpya na zenye quality subiri kama baada ya wiki moja movie ikishatoka then search na soma maelezo yake, angalia format. Usikimbilie kudownload kama hujasoma maelezo.Tatizo nikichukua movie kupitia torrent engine search nikidownload zingine zinakuwa hazi play kwenye window media player zina play VLC tu nako zinakuwa na ukungu sana hazipo clear tatizo nn
mkuu ni movie kumi kwa bahati mbaya Mimi sio mpenzi wa episodes.trust me kwa bila kikomo huwa nadownload movies zenye quality nzuri 1080p ( very clear) na huwa na ukubwa wa kuanzumia 900mb,1gb,2gb na kuendelea..!! labda kuna factors zinazofanya nidownload movies nyingi..kama umegundua movies za baadhi ya uploaders kama YIFY na zingine huwa fastar hata kama ni 2gb ndani ya dk 10 imekwisha..huwa nahamishia kwenye PC then nacheki movies ninazo movies kibao.
Tatizo pale unapochagua movie torrent angalia kama ni DVDRip au kama ni Cam, kuna formats za aina nyingi torrent, pendelea kudownload movies zenye quality ya 720 na kuendelea. Unapochagua muvi ukishaiona kwenye results ifungue link yake then soma descriptions. Torrents ni sehemu ambayo kila mtu anaweza akaweka movies zake, wengine wanarecord movies za maonyesho kwenye ukumbi wa muvi na kushare torrent hasa pale kama movie ni mpya na bado haijaanza kusambaa, inavujishwa na watu kwa kurecord first release yake na movies hizo haziutwi so ukija next time unatakiwa utafute format nyingine. Kama unapenda movies mpya na zenye quality subiri kama baada ya wiki moja movie ikishatoka then search na soma maelezo yake, angalia format. Usikimbilie kudownload kama hujasoma maelezo.
Pia pendelea kutazama movies na VLC kwani inaweza kusoma quality na subtitle vyema zaidi ya Media Player ya windows. Ukidownload movie torrent unaweza kupata na subtitle hivyo tumia version mpya/current ya VLC then download movies zenye quality na subtitle. Enjoy.