GB 30 kwa 100/=

Voda kuna Internet bila kikomo shilingi elf 1 kwa Massa 24.

Vodacom Nikiwa Maeneo Fulani ndo huwa natumia Hii.. Huwa Nashusha Hata Series 2 na Documentary za kutosha... Na Zote zina GB hata 8..

Na Speed Yake Ni mpka 700Kb/s mpk 900kb/s hapo Speed ile ya Mwanzo imepungua wanayokupa na 700MB zao
 
Usichukue videos za YouTube, Hazina Quality, Tumia Torrents kuchukua movies za high qualities.

Tatizo nikichukua movie kupitia torrent engine search nikidownload zingine zinakuwa hazi play kwenye window media player zina play VLC tu nako zinakuwa na ukungu sana hazipo clear tatizo nn
 
Vodacom Nikiwa Maeneo Fulani ndo huwa natumia Hii.. Huwa Nashusha Hata Series 2 na Documentary za kutosha... Na Zote zina GB hata 8..

Na Speed Yake Ni mpka 700Kb/s mpk 900kb/s hapo Speed ile ya Mwanzo imepungua wanayokupa na 700MB zao

Hivi ilivid inastahimili kupakua movie kwa kifurushi cha 1000 voda ..??
Maana ndo nnayotumia ..
 
tittle;; GB 30 kwa 100/=

MAINBODY:: namna ninavyodownload muv utorrent kwa kutumja gb30 za tigo na speed ya net

Hii ndo nni ssa nikuelew vip....xo confusing bro
 
Last edited by a moderator:
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!

Download na uonstall application inaitwa MOBOGANIE then utapakuwa video yoyote toka youtube
 
Mimi kwa kutumia bundle la bila kikomo kwa buku kwenye voda yangu napakua muvi hata zaidi ya kumi kwenye Simu then nahamishia kwenye pic..natumia kickass torrents software.Ipo poa na muvi zipo faster
 
hilo bundle kikomo chake ni 1GB
 
Mimi kwa kutumia bundle la bila kikomo kwa buku kwenye voda yangu napakua muvi hata zaidi ya kumi kwenye Simu then nahamishia kwenye pic..natumia kickass torrents software.Ipo poa na muvi zipo faster

Duh, movie kumi??? Au episodes 10??. Coz, hata huko kickass.to kwenyewe movie ya ukubwa mdogo sana labda ya 780Mb na hapo ni quality ya 720p. Sasa mkuu na hii bila kikomo ya 1Gb ambayo spidi yake inaanza shuka ukishatumia 700Mb inakuaje hapo?. Ila sikubishii coz labda kuna namna unafanya!!!
 
Na mkuu hii ya ss ndo njia rahisi zaidi
 
mie naomba mnisaidie jinsi ya kutumia simu
kama modem.natumia huawei 530
 
Vodacom Nikiwa Maeneo Fulani ndo huwa natumia Hii.. Huwa Nashusha Hata Series 2 na Documentary za kutosha... Na Zote zina GB hata 8..

Na Speed Yake Ni mpka 700Kb/s mpk 900kb/s hapo Speed ile ya Mwanzo imepungua wanayokupa na 700MB zao

kifurushi gan hicho? mi cha voda nnachokijua wanachoita unlimited ni GB 1
 
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!

Ku download video youtube kwa kutumia android device. Unatakiwa kutumia TUBEMATE video downloader
 
kifurushi gan hicho? mi cha voda nnachokijua wanachoita unlimited ni GB 1

Sasa hivi siyo 1GB tena Bali wametoa 300MB na Sasa Ni 700MB full speed na Zikiisha Wanashusha Speed ila Kwangu huku haishuki sanaaaa napata hadi 500kb/s to 600kb/s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…