ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
Download tubemate mkuu...ipo kama youtube application ila yenyewe inauwez wa kudownload video.MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni
Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari
Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea
Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa
Njia nilio kuwa naifaham mm ni unasearch video youtube halafu
ASANTE
KIONGOZI!
Mkuu...title ya thread yako haiko sawa..Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni
Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari
Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea
Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa
Huu ni mwaka wa tatu watu tunafanya haya. We ndio umeingia town nini?Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni
Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari
Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea
Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa
Huu ni mwaka wa tatu watu tunafanya haya. We ndio umeingia town nini?
mkuu naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie kupitia u torrent
Hiyo speed inategemea na eneo ulipo....kuna watu wako mjini hapa na wako covering ya 3G lakin kufungua page tu ni shida hasa kipindi cha mchana....Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni
Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi sa kumi ba moja asubuhi aisee na nimefundishwa kutumia utorrent na mmoja ya mdau humu anaitwa kcamp basi nina enjoy sana nina pakua movie zisizo na idadi na internet ipo speed hatari
Nachokifanya na connect simu angu kwenye PC through USB tethering den sa tano hio nakuwa na movie zangu kama ni 20 naacha zinapakuliwa nikiamka sa kumi na moja nakuta ni complete na streem nafanya mambo mengi kiukweli huwa sizi malizi lakini nacho fanya kabla ya mda wa kifurushi kuisha naunga tena bas hata zile zingne zinaendelea
Nimekuja kushare na nyie hapa wale wazee wa internet hii kitu iko poa
MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!
Download utorrent instal nenda kickass.to search movie ikifunguka chagua unayo taka click itafunguka den check neno download torrent click hilo neno utakuwa umemaliza mchezo utadownload
Kusearch torrent files tumia torrentz search inakupa option tofauti ya kupata unachotaka kuliko kutumia kickass tu.
Usichukue videos za YouTube, Hazina Quality, Tumia Torrents kuchukua movies za high qualities.MKUU NAOMBA UNiELEKEZE NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIE HASA ZA YOUTUBE,, ZIKABAKI KWENYE MEMORY CARD, KWA HIZI SMARTPHONE!