Gazeti Mwananchi hovyo kabisa

Bora kuwe na jukwaa la vilaza ili kupunguza mizigo jf,kabla hujaleta post huku ni vizuri ukajirizisha kupitia research ndogo ya unachotaka ku-post..
 

Soma sentensi yako ya mwisho. Mtaacha lini ubaguzi? Dhambi hiyo kamwe haitaacha kuwatafuna milele.
 
Mtoa mada bure kabisa, kajipange tena na maCCM wenzako.
 

Haya wanayoshabikia hapa kwetu wakayafanyie nchini kwao waone muziki wape. Wawekezaji namna hii ni wakuchukuliwa tahadhari
 
Mkuu kwani hujui kuwa mwananchi linatumiwa siku hizi na wanasiasa?
 

Thibitisha kama Kibe n CCM. No research no right to speak.
Hujasoma vizuri bandiko la Kibe umekurupuka. Unapenda kusoma lakini huelewi n hatari zaidi Chikaka Sumuni.
 
Una hasira kweli. Ni tatizo la kuongozwa na misimamo ya kimakundi. Chombo cha habari kidipoandika unayotaka kusikia kinahukumiwa kuwa hakifai. Tumeyasikia kwa makundi yote - CHADEMA, CCM, wanaharakati n.k. Fanya urafiki kidogo tu ujue mantiki ya Makalla hayo.
 

Unatoa povu tu, si uende usome ukija hapa utupe comparative analysis? Utupe yale yaliyosemwa an Mwananchi na yale yanayosemwa na sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011. Sio unakuja hapa unatoa mapovu utadhani unataka kufa. Hopeless!!
 
Tatizo la hawa wenzetu CCM wamezoea kuishi kwa uongo na ulaghai kama ambavyo Tundu Lissu alivyoaamua kuupiga na kuundodosha "mbuyu wenyewe" wa imani ya CCM J.K.Nyerere kwamba alizoea kuishi kwa uongo,ulaghai na kipropaganda zaidi. Muungano umeishi ndani ya uongo wa Nyerere na kumzidi ujanja mwenzake Abeid Karume kwa muda mrefu sana!!

Sasa hii mbegu imeshawaingia mpaka wajukuu zake ninyi!!..Utalizingiziaje gazeti kuwa limesema uongo? Na je, vipi ile habari ya Lukuvi na uchochezi wake wa kidini kanisani hadi ikamuibua huko alikojificha kuja kujitetea na wala hakusema kuwa gazeti limemlisha maneno na ni gazeti hilihili la Mwananchi??

Jitambue wewe!!
 

Umevurungwa mkuu, jamaa wako fare, au ulitaka waandike mawazo yako? Bigup mwananchi
 
mkuu mbona wapo sahii bila ukawa hakuna maamuzi kwa mujibu wa sheria maana sheria inaelekeza ni wajumbe wote wa pande mbili za muungano

Namshangaa sana huyu mtu. Kakalia ushabiki tu eti anasema hati imepatikana. Imepatikana kwa vile semfue kaonyesha sahihi tu, anajua kama ni original? Ila najua mapovu yote haya ni kwa sababu hajijui na hajui kuwa ccm kuendelea kujadili katiba bila maridhiano na ipinzani hiyo si katiba ya nchi bali ya ccm.
 
mmiliki wa mwananchi ni mkenya?.

Sio Aga khan?.
 
Ukawa wanazo hoja za msingi .Mjadala ni rasmu ya walioba haya yanayojadiliwa na wajumbe wa CCM naona kama ni ajenda ya chama na si wananchi

Tutafajari hili ndugu zangu!
 


[h=2]Askofu Kakobe kuzungumzia muundo wa Muungano katika Neno la Pasaka 20.4.14[/h]
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa waumini wanaosali katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), linaloongozwa na Askofu Mkuu Zachary Kakobe, zinaeleza kwamba, Jumapili iliyopita katika Ibada Kuu ya Kanisa hilo, lililoko Barabara ya Sam Nujoma, Mwenge, Dar-Es-Salaam, karibu na Mlimani City; Mzee wa Kanisa anayehusika na matangazo, alitangaza kwamba, katika Ibada Kuu ya Sikukuu ya Pasaka, Jumapili hii tarehe 20.4.2014, Askofu Kakobe atahubiri Neno la Mungu, ambalo pamoja na mambo mengine ya rohoni, litazungumzia pia juu ya mustakabali wa nchi yetu, hususan kuhusu Bunge Maalum la Katiba, linaloendelea na vikao vyake, mjini Dodoma. Hata hivyo, taarifa za uhakika zilizopatikana jana, kutoka kwa baadhi ya Viongozi wa Kanisa hilo, zinafafanua kwamba, Askofu Kakobe, atachukua muda mrefu zaidi katika mahubiri yake, kuzungumzia juu ya muundo wa Muungano unaoifaa nchi yetu.

Ibada Kuu ya Pasaka katika Kanisa hilo, itaanza saa 3 kamili asubuhi, na kumalizika saa 6.30 mchana. Hata hivyo, kwa kuzingatia Kanuni za Maadili ya Mavazi, za Kanisa hilo; Viongozi hao wa Kanisa, wamewakumbusha watu wote watakaohudhuria, kumheshimu Mungu kwa mavazi watakayoyavaa. Watakaovaa vimini, jeans, milegezo, na nywele bandia; hawataruhusiwa kuingia katika Nyumba hiyo ya Mungu. Vilevile, wanawake hawapaswi kuvaa suruali, na wanatakiwa kufunika vichwa vyao. Vivyo hivyo, wanaume hawakubaliki kuingia Kanisani humo, wakiwa wamevaa kofia.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…