Gazeti la Tanzania Daima lamuomba radhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
DBJ8Lg8W0AIf3MK.jpg


==========

Gazeti la leo Jumatano hili hapa

daima.jpg

Awali Serikali ililitaka gazeti la Tanzania Daima liombe radhi kwa kukosa umakini wa uhariri.

image.jpeg
 
Mwanasheria Mkuu wa ovyo kabisa huyu ambaye moja kwa moja anaonekana hamshauri vizuri Rais kwasababu ya matendo mengi ya Rais ya KUVUNJA sheria na Katiba ya Nchi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa watu fulani wanavyo liangalia TzDaima linatakiwa liwe makini zaidi. Ni vizuri wameliona hilo na kuomba radhi lakini waongeze umakini hata kama kuna deadline zinazowabana.
 
Hilo lilishasemwa kuwa haitapita leo, gazeti la Tanzania Daima litakuwa limeshaomba Radhi.

Masa.... hana Ubavu wa kutamka maneno hayo. Ni hewa tupu.
 
WALIFANYA KWA MAKUSUDI '' JE KAMA ALIKUWA MTU MWINGINE WATAJE KUWA IYOKAULI ILIKUWA YA ........

WAZIRI AG NI MTU MKUBWA ANAKAIMU MPAKA URAISI

TUNAOMBA WAFUNGIWE MIEZI 6 . IWE FUNDISHO KWA MEDIA ZOTE

WASIJEZE NA MIHIMILI , MASAJU NI MUHIMILI KAMA RAISI NA SPIKA

NAOMBA LITEKELEZWE ASAP
 
"Mume wa Zari Diamond azikwa na mamilioni" (Tz Daima bandiko la kwanza juu). Sijui hii imekaaje kila nikiitafakari naona pia kuna kosa. Aliyefariki na kuzikwa (RIP) ni Ivan sasa sijui Diamond anaingiaje. Hapa naona ni wajibu kuomba radhi tena au kiswahili changu kina walakini?
 
ingekuwa zama za NAPE Tanzania daima ingefungiwa na adhabu kali wangepewa
 
Walichokifanya Tanzania Daima leo ni upumbavu alafu wa maksudi kabisa. Haiwezekani kwenye issue hot namna hii ya madini watu wasiwe makini na kutaka kuwaingiza wenzao kwenye matatizo.

Niliona barafu alitahadharisha kwenye uzi flani kua hayo sio maneno ya AG sasa nimeamini. Huu ni ukosefu mkubwa wa umakini.
 
Nilijua tu mbowe amepotosha makusudi ili kuchagiza kuwaridhisha 'mabwana' huko ulaya, leo kaomba radhi japo alifanya makusudi.
 
Back
Top Bottom