Gazeti la Tanzania Daima lachungulia kaburi.

Ulitaka liandike Habari ipi? Za kupengeza na kulamba viatu? Acha ujinga weww

kwa hiyo heading unategemea hilo gazeti liendelee kununuliwa , mbona vitu vipo vingi tu vya kuandika vyenye sura ya kitaifa kuliko kukomaa , na lisu , cdm, bavicha, sijui mbowe kafanya nin
 
Hilo sio gazeti la mapambio kama mlivyo ninyi
 
Back
Top Bottom