Gazeti la Sani linatumia post za blog yangu kuchapisha kwenye gazeti lao bila ruhusa yangu

Mkuu Ben branco hapo issue ni kumhire advocate awatingishe kidogo tu hao SANI wallah haitachukua mzunguko mkubwa hiyo kesi jamaa yako atalamba mpunga wa kufa mtu.
Cha msingi jamaa atunze nakala za hayo magazeti na hata ushahidi wa voice note alipowapigia simu.
 
safi Mkuu nitamshauri hivyo
 
Mwenye blog asajil kampuni brela apatr Tin number kisha afikishe kesi mahakaman atalipwa fidia ila kama blog yake haitambulik kisheria hana
 
Back
Top Bottom