Gazeti la Nipashe kwanini hamjamtaja Eddo Kumwembe kwamba ni balozi wa Kodi?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni
  • Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji)
  • Eddo Kumwembe na
  • Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa
Sasa ni kwanini gazeti la Nipashe leo tarehe 23/06/2021 kwenye stori yenu hamkumtaja Eddo Kumwembe na badala yake mmewataja hao wawili tu? tena mkiwawekea na kichwa cha habari kabisa kwenye hiyo stori. Acheni 'ushamba' na substandards kwenye news coverage zenu be professional. Au mna bifu nae?
 
Jana Waziri wa Fedha akitoa muono wa Bajeti ya Serikali na kuhitimisha Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali aliwataja watu maarufu Watatu kuwa Mabalozi wa Kulipa Kodi ambao ni

  • Hamisa Mobeto (Mwanamitindo na Mwigizaji)
  • Eddo Kumwembe na
  • Mbwana Samatta mwanakabumbu wetu TZ huku kimataifa

Sasa ni kwanini gazeti la Nipashe leo tarehe 23/06/2021 kwenye stori yenu hamkumtaja Eddo Kumwembe na badala yake mmewataja hao wawili tu? tena mkiwawekea na kichwa cha habari kabisa kwenye hiyo stori...acheni 'ushamba' na substandards kwenye news coverage zenu be professional. Au mna bifu nae?!!!
Ndugu yangu Samata wengi wa mashabiki zako kunabaadhi ya kodi hawakubaliani nazo, mfano kodi hii ya laini za simu nadhani wewe kuwa balozi wa kuhamasisha kulipa kodi utakuwa unahamasisha pia kodi ya laini za simu, kiukweli kitendo hicho hakitowaridhisha mashabiki zako wengi wao ndio vijana watumiaji simu.
 
Yawezekana ni kwasababu anatokea ( anafanya Kazi ) katika Gazeti 'Shindani' na Wao la Mwananchi na Mwanaspoti la Michezo. Hata hivyo 'Professionally' Nipashe hapa wamekosea na huu siuiti tu ni Ushamba ( Umbwiga ) bali nauita ni Upumbavu ( Upopoma ) kabisa.
 
Ndugu yangu Samata wengi wa mashabiki zako kunabaadhi ya kodi hawakubaliani nazo, mfano kodi hii ya laini za simu nadhani wewe kuwa balozi wa kuhamasisha kulipa kodi utakuwa unahamasisha pia kodi ya laini za simu, kiukweli kitendo hicho hakitowaridhisha mashabiki zako wengi wao ndio vijana watumiaji simu.
Kwamba vijana wasilipe kodi. Nchi itaendeshwaje. Basi washauriwe kuhamia nchi ambayo haealipishwi kodi. Kama kodi kwa vijana ni kero.
 
Soma vizuri nilicho Kiandika, kodi niliozugumzia ha kuikosoa hapo ni ya laini za simu tu.
Je wewe kama kijana unairidhia?
 
Ngoja tuone Mabeto atakachosema juu ya laini za simu na kodi kupitia Luku.
Niko hapa Mlembweni Hotel Room No 102 anaweza kunitembelea kwa nielewesha zaidi
 
Back
Top Bottom