Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Oct 3, 2012 #21 Preta said: sawa kamanda....... hivi kiongozi.....Ayumi alipatikana.....? nimekuwa na wasi wasi sana juu yake...... Click to expand... Hahahaaaaaaaaa! Mjomba Ayumi hakupatikana, nawasiwasi na Shemeji zake na PakaJimmy, manake nasikia walipita pita maeneo siku hiyo! Si unajua ndugu zangu kutoka njombe, ludewa nk.? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Preta said: sawa kamanda....... hivi kiongozi.....Ayumi alipatikana.....? nimekuwa na wasi wasi sana juu yake...... Click to expand... Hahahaaaaaaaaa! Mjomba Ayumi hakupatikana, nawasiwasi na Shemeji zake na PakaJimmy, manake nasikia walipita pita maeneo siku hiyo! Si unajua ndugu zangu kutoka njombe, ludewa nk.?
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Oct 3, 2012 #22 Preta said: asante taaa.....kwa kutujulisha kama kuna hili gazeti......ashee tukulu..... Click to expand... eee taae....amuu...ilikuwa mbado kujua pia! Ashe taa
Preta said: asante taaa.....kwa kutujulisha kama kuna hili gazeti......ashee tukulu..... Click to expand... eee taae....amuu...ilikuwa mbado kujua pia! Ashe taa
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Oct 3, 2012 #23 Nimelitafuta online wala sijalipata, inawezekana watakuwa wanajipanga kwa vile wameanza muda si mrefu!!!
Nimelitafuta online wala sijalipata, inawezekana watakuwa wanajipanga kwa vile wameanza muda si mrefu!!!
kilaboy Senior Member Joined Dec 11, 2011 Posts 150 Reaction score 97 Oct 3, 2012 #24 Thanx kwa taarifa mkuu
Mao ze dong JF-Expert Member Joined Aug 28, 2012 Posts 941 Reaction score 1,014 Oct 3, 2012 #25 ARUSHA the source of tz popularity,keep it up my mother land
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,752 Reaction score 46,271 Oct 3, 2012 #26 Hongera zenu Arusha.
Augustine Moshi JF-Expert Member Joined Apr 22, 2006 Posts 2,556 Reaction score 1,394 Oct 4, 2012 #27 Kwa hivyo Arush ain magazeti mawili sasa. Hakuna kitu kinarudisha Mwanza nyuma kama kutokuwa na gazeti hata moja. City gani bila gazeti? Hazipandi?
Kwa hivyo Arush ain magazeti mawili sasa. Hakuna kitu kinarudisha Mwanza nyuma kama kutokuwa na gazeti hata moja. City gani bila gazeti? Hazipandi?