Gazeti la Jamhuri nalo linatumika?

Kwani ata kizaz anacho?
hahahahahaaaa watanganyika mmekuwa na hasira kweli awamu hii,hongera kwa kondakta wa kolomije d bashite kwa kubadilisha nchi nzima kisaikolojia ,sasa hivi ni visasi na ubabe tu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ aisee hapa hakuna great thinkers kabisa, you cant even read between the lines,mnajua maana ya sarcasm???hopeless kabisa'
 
Hilo neno tu 'vyuma vimekaza' huwezilitumia kufungua shtaka!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza? Mambo ni mazuri bana, washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu, ni hatari sana watu hawa.
Wamekatazwa na Mungu wasiuane lakini bado wanauana.
 
1.Rais ni mwongo maana aliongea tarehe 14/10/2017 kuwa kuna Watumishi wa Umma 59,000+ watapandishwa madaraja mwezi Novemba lakini hadi sasa hajapanda hata mmoja.

2.Rais alisema baada ya uhakiki kumalizika kutakuwa na maslahi bora kwa Watumishi wa Umma lakini hadi sasa wamepewa za uso.

Waandishi wa habari hizi hazifai kupamba kwenye front page maana sijawahi kuziona.

Kutoka hifadhi ya misitu ya Madihani
Mwanachama wa CCM.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ aisee hapa hakuna great thinkers kabisa, you cant even read between the lines,mnajua maana ya sarcasm???hopeless kabisa'
Hiki kipindi na jinsi mambo yalivyo currently watu wako very tense sio rahisi kusense a 'mocking thread', we ukipost tu tayari unawekwa aidha kushoto au kulia hakuna atayetake time kufikiria reciprocally/abstractly isipokuwa kwa yule tu ambaye alishawahisoma thread zako nyingiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
pole!..mimi bado naikumbuka ile post ya Amiri jeshi mkuu akikakua majeshi yake ..KigwπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kigwa ni entertainer aiseeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…