ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Mwenyewe bado ni mtotoMwanao anasoma la ngap
kwenye suala hilo, wala usiwasingizie mosad, wakristo woote Tanzania ukifanya sensa wanasapoti Jerusalem iwe mji wa waisrael, wakati waislam woote Tanzania ukipiga sensa wanataka mji ule waisrael wasiuguse kabisa wote uwe wa wapalestina. ni suala la imani, ambalo hautakiwi kuvutia kamba kwako peke yako ujue na wenzio wana haki, ni bora kuishi kwa kuvumiliana tu. na kwa naman hio, kama MOSAD wangeamua kutafuta vibaraka tz wasingepata shida, kwasababu wachungaji na waumini etc watafanya hiyo kazi bure bila hata malipo. tusifike mbali. pia, huo upendo na amani ya tz unayoiongelea, Tundu lisu anaijua hiyo?View attachment 702287Baada ya bwana musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na Fbi,leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania,maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi
Issue ilianza pale Tz ilipopiga kura kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel sasa jamaa wa mossad wametafuta vibaraka wao na unaona mwenyewe heading hiyo?
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza?mambo ni mazuri bana,washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu,ni hatari sana watu hawa.
View attachment 702287Baada ya bwana musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na Fbi,leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania,maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi

Aloyekwambia Israel ni dominated na Wakristo ni nani?kwenye suala hilo, wala usiwasingizie mosad, wakristo woote Tanzania ukifanya sensa wanasapoti Jerusalem iwe mji wa waisrael, wakati waislam woote Tanzania ukipiga sensa wanataka mji ule waisrael wasiuguse kabisa wote uwe wa wapalestina. ni suala la imani, ambalo hautakiwi kuvutia kamba kwako peke yako ujue na wenzio wana haki, ni bora kuishi kwa kuvumiliana tu. na kwa naman hio, kama MOSAD wangeamua kutafuta vibaraka tz wasingepata shida, kwasababu wachungaji na waumini etc watafanya hiyo kazi bure bila hata malipo. tusifike mbali. pia, huo upendo na amani ya tz unayoiongelea, Tundu lisu anaijua hiyo?
View attachment 702287Baada ya bwana musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na Fbi,leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania,maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi
Issue ilianza pale Tz ilipopiga kura kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel sasa jamaa wa mossad wametafuta vibaraka wao na unaona mwenyewe heading hiyo?
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza?mambo ni mazuri bana,washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu,ni hatari sana watu hawa.
Kwa kweli washitakiwe.View attachment 702287Baada ya bwana musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na Fbi,leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania,maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi
Issue ilianza pale Tz ilipopiga kura kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel sasa jamaa wa mossad wametafuta vibaraka wao na unaona mwenyewe heading hiyo?
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza?mambo ni mazuri bana,washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu,ni hatari sana watu hawa.
View attachment 702287Baada ya bwana musiba kutaja hadi watanzania wanaotumika na Fbi,leo nimepata data za jinsi baadhi ya waandishi wa gazeti hilo hapo juu wanavyotumika na Mossad ya Israel ili kutufitinisha watanzania,maana tunavyoishi kwa upendo na amani iliyotaamalaki kila kona katika awamu hii tukufu ya tano imekuwa ni nongwa kwa mahasidi
Issue ilianza pale Tz ilipopiga kura kupinga Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel sasa jamaa wa mossad wametafuta vibaraka wao na unaona mwenyewe heading hiyo?
Kwanza si ilishakatazwa kusema hilo neno la vyuma vimekaza?mambo ni mazuri bana,washtakiwe kwa ile sheria ya takwimu,ni hatari sana watu hawa.
Kwani ata kizaz anacho?Mwanao anasoma la ngap
Jamaa nilivyomsikiliza kwa mara ya kwanza nikajua tu lazima kuna kitu hakipo sawaMusiba akili zake zimepungua
Ova
Kwa hakika tunaanza tabia za kishirikina maana mshirikina kila tatizo atamsingizia mtu mwingine kuwa chanzo cha matatizo yake na sio yeye mwenyewe. Kihistoria kuna wakati tuliaminishwa kuwa shida tulizo nazo zinasababishwa na nchi mabepari. Tuliziimbia nyimbo mbaya. Siku hizi watu wanaanza kutajataja mashirika ya nchi za ng'ambo, hatujitathmini wenyewe kwanza. Tuache!Mtoa Mada kadat@
Ova
Haahaha ndomana nkasema jamaa kadata aise....upstairs hayuko sawaKwa hakika tunaanza tabia za kishirikina maana mshirikina kila tatizo atamsingizia mtu mwingine kuwa chanzo cha matatizo yake na sio yeye mwenyewe. Kihistoria kuna wakati tuliaminishwa kuwa shida tulizo nazo zinasababishwa na nchi mabepari. Tuliziimbia nyimbo mbaya. Siku hizi watu wanaanza kutajataja mashirika ya nchi za ng'ambo, hatujitathmini wenyewe kwanza. Tuache!