Hali tete kwa lioelemewa na mizigo. CCM na Mizigo ya Mawaziri.Hali tete
Nguvu kubwa wanayotumia ccm kuivuruga chadema ingetumika kuwapa maendeleo watanzania ccm ingeishi kwa raha sana,
Hahahahaa waandishi wasahaulifu, si mtanzania ilifungiwa kwa kuandika "serikali yanuka damu"
Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.Nguvu kubwa wanayotumia ccm kuivuruga chadema ingetumika kuwapa maendeleo watanzania ccm ingeishi kwa raha sana,
Wewe nguvu na muda ambao unapoteza humu JF kuitukana CCM na kudanganya watu ungeitumia kutafuta pesa ungekuwa mbali sana.