Taqbir.⚡Ismail Haniyeh to Al Jazeera: The enemy is delusional if he thinks that by killing my sons we will change our positions
Hata Mbowe aliitwa gaidi na wewe mahakamani ulikuwa hutoki kulia liaTaqbir.
Kwahiyo huyu gaidi hakuchukuwa familia yake Kula nayo bata Qatar?
Itapendeza kama viongozi wa Hamas watahama Doha Qatar wahamie Gaza ndio nitawaelewa, kuliko wanachokifanya sasa kumeza Viagra Doha na kuwasababia matatizo wakazi wa Gaza.Hata Mbowe aliitwa gaidi na wewe mahakamani ulikuwa hutoki kulia lia
Kwa akili hizi ccm atawala mpaka kiamaItapendeza kama viongozi wa Hamas watahama Doha Qatar wahamie Gaza ndio nitawaelewa, kuliko wanachokifanya sasa kumeza Viagra Doha na kuwasababia matatizo wakazi wa Gaza.
Ayatollah naye anajambajamba tu.Ameongea kiuwoga sana
Umeshashiba ubwabwa? Mama alikuwa mgeni rasmi leo Baraza la Eid wahi bahasha Bakwata.Kwa akili hizi ccm atawala mpaka kiama
Ayatollah naye anajambajamba tu.
Kwa akili hili za wasomi za KibongoUmeshashiba ubwabwa? Mama alikuwa mgeni rasmi leo Baraza la Eid wahi bahasha Bakwata.
muoga kichizi huyu mzee, ana bwekabweka tu, na watu wanaisha huko ghaza⚡Ismail Haniyeh to Al Jazeera: The enemy is delusional if he thinks that by killing my sons we will change our positions.
Haniyeh: "Nearly 60 members of my family have already become martyrs, there is no difference between them for the Palestinian people."
Ismail Haniyeh to Al Jazeera: We will not hesitate, we will not retreat, and we will continue on our way to liberate Jerusalem and Al-Aqsa.
CCM tumeipenda wenyewe shida iko wapi?Kwa akili hili za wasomi za Kibongo
.ccm atawala mpaka wachoke wenyewe
actually ni kaoga mno hako ka dingii, kanajifichaficha kama sunguraAmeongea kiuwoga sana
Sasa mbona kina mbowe na lissu wanahangaika nini?CCM tumeipenda wenyewe shida iko wapi?
Siku hizi tunapiga deal nao pamoja hakuna kulialia.
Kama viongozi wa chadema wakisakwa?actually ni kaoga mno hako ka dingii, kanajifichaficha kama sungura
Kila siku najiuliza.Ukiona Gaza haina kitu chochote kwa maana ya mali asili wala rutuba.Najiuliza why hawa wapalestina wako tayari kufa kwa kaeneo kasikokuwa na chochote?Kumbe issue ni Jerusalem na Al aqsa?⚡Ismail Haniyeh to Al Jazeera: The enemy is delusional if he thinks that by killing my sons we will change our positions.
Haniyeh: "Nearly 60 members of my family have already become martyrs, there is no difference between them for the Palestinian people."
Ismail Haniyeh to Al Jazeera: We will not hesitate, we will not retreat, and we will continue on our way to liberate Jerusalem and Al-Aqsa.
Uislam wao ndio mali kuliko magorofaKila siku najiuliza.Ukiona Gaza haina kitu chochote kwa maana ya mali asili wala rutuba.Najiuliza why hawa wapalestina wako tayari kufa kwa kaeneo kasikokuwa na chochote?Kumbe issue ni Jerusalem na Al aqsa?
sijuiKama viongozi wa chadema wakisakwa?
Kwa nini yeye hakai Gaza? huyu ni walking dead.actually ni kaoga mno hako ka dingii, kanajifichaficha kama sungura
Taqbir.
Kwahiyo huyu gaidi hakuchukuwa familia yake Kula nayo bata Qatar?